TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Wakuu,

Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:

Mnapoamua kufanya biashara yoyote au mawasiliano yoyote nje au ndani ya JF bila kutushirikisha msiilaumu JF wala uongozi wake.

Tunafahamu kuna ambao mmeshalizwa, tafadhali tufahamisheni ili tuweze kuwachukulia hatua wahusika.

Nisisitize, KUWENI MAKINI NA MATAPELI!
Huu uzi unanikumbusha mbali sana.
Miongoni mwa miujiza yangu mikubwa michache ni, kukutana na wewe, kuongea na wewe kusafiri na wewe na kuwa na namba yako.

Mungu akupe haja ya moyo wako, ninakuombea sana, kwenye nyakati zako zote, za mapito yako yote.
Kwenye dhoruba, nakuombea Amani, kwenye Amani nakuombea ustawi, ustawi zaidi na zaidi, zaidi ya mtende ulioota kwenye Oasis
 
Kuna member mwingine humu anajiita "Mr AMHAKA" yeye anijifanya ni mfanya biashara wa mazao na pia ni katibu wa chama cha ushirika(AMCOS) Songea na anajifanya pia anajuana na waziri fulani nchini. Anatumia ujanjaujanja huu kuwaaminisha watu kufanya utapeli wake. Kuna thread moja ya mwezi july naona mods wameiondoa anaomba partner wa kufanya nae biashara ya korosho kusini huku akiahidi kurudisha faida almost to 100% ya mtaji yaan ukiweka 5mill utapata faida isiyopungua 5mill. Naomba kuwen nae makin ametapeli pesa ya mtu pamoja na kuleta usumbufu wa muda pamoja na gharama za kumtoa mtu dar kwenda songea na kukaa kwa muda usiopungua week nzima kwa kazi ya Ufuta ambayo kumbe haikuwepo. Alishaweka namba zake za simu hapa na ninaziweka tena..0755 221 600, 0712 359 510, 0685 138 073, 0620 755 171, 0684 844 750 zoote hizi zimesajiliwa kwa jina JUMA MALIKA na amezigawa kwa watu tofauti anaodai kuwa ni mkulima mwenye mzigo, afisa mtendaji wa kijiji, mwenyekiti wa chama cha ushirika, dalali wa mzigo pamoja na yeye anayejifanya ni katibu wa chama cha ushirika Songea. Baada ya kudai arudishe gharama zote kwa muda ambao yeye alihitaji alirudisha only Tsh 3,500 tu na kublock namba.
View attachment 1887364
View attachment 1887370
Kuweni nae makini huyu kwa sasa tunamshughulikia then nitaleta ful details hapa.
Mmeshamkamata huyo tapeli?
 
Salaam
Naunga mkono Tangazo hili ni kweli baadhi ya watu sio waaminifu katika kufanya baishara

Ushauii
Endapo unafanya Biashara mtandaoni Tafadhali fanya yafuatayo:

Tambua Jina halisi la Muuzaji ikiwezekana muombe nakala ya kitambulisho cha taifa au uthibitisho wowote halali kuwa ni yeye
Kama ni biashara muombe Profile ya kampuni yake (Jina la kampuni, nakala ya usajili wa biashara, TIN namba,) na mawasiliano na wateja ambao alishafanya nao kazi
Omba anuani ya ofisi ake kisha nenda ukamtembelee kama ni mkoani tuma mtu unaemuamini afike ofisini kwake
Kama ni kazi au biashara ni kubwa muobe taarifa zake za fedha za mwaka
Majadiliano yenu yafanyike kwenye ofisi ya wakili au mbele ya mashahidi wa pande zote mbili mnaowaaamini

Kwa ushauri zaidi tunaweza kusawasiliana
 
Mkuu,mimi ninamfahamu tapeli mmoja aliyenitapeli ambaye ana vigezo hivo vyote.

Nilichojifunza kama mtu ambaye anafanya ninafanya biashara na watu ambao wengine hatujawahi kuonana ni kwamba Ukiona una hofu ya kutapeliwa basi do not go through with the deal.Kufanya biashara na mtu usiyemfahamu ni risk sana.Hata hivyo najua pia kuwa utapeli ni silka ya mtu.Yaani kuna watu ni matapeli regardless na wanapenda maisha ya kuwa kama DIGI DIGI hata wakiwa na vibali bado lengo lao linakuwa ni hilo hilo kutapeli.

Mimi huwa ninasheria zangu za msingi.

Kwanza if the deal is too GOOD to be true then RUN.If you are taking too much RISK then RUN.Risk what you are willing and able to loose with minimum impact.

Kuna watu humu ambao nimewahi kufanya nao DEALS kubwa hata nikikutana nao siwafahamu wala hawanifahamu.Kuna ambao tumebahatika kufahamiana na tukawa marafiki wazuri ila wengine hatujawahi onana kabisa ila nawaheshimu kwa kuwa waaminifu na ninaamini pia a wao wananiheshimu kwa kuwa muaminifu kwao.

Nilochojifunza kwa kazi za mtandaoni ni kutokuchukua RISKS za kijinga hasa unapoona kabisa hiki kitu sicho ila bado unakimbilia kwa sababu ama ya tamaa au kutafuta unafuu fulani.
 
Vp kama mtu akitaka kununua gari kwa watu wa mitandaoni. Afuate au azingatie mambo gani?.
 
Hakuna tapeli wa kudumu ... na pia mtu yoyote anaweza kuwa tapeli apatapo fursa ya kutapeli kutokana na ujinga wa mtu. La muhimu hapa watu wawe makini. Humu tupige soga na tupigane vijembe ila biashara za kweli zikafanyike TRA au kwa Balozi
 
mtu akiwashangaa hao matapeli
a.jpg
 
Back
Top Bottom