TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...


Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Messages
12,833
Likes
4,785
Points
280
Super Sub Steve

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2011
12,833 4,785 280
Naisubiri picha ya tapeli mpaka Leo haijaja
Nadhani bidada alitunga tu hii habari haina ukweli wowote kama ina ukweli basi dada naye kuna sehemu alimpunja jamaa yaani aliyeuza cheni kauza cheni bandia aliyenunua cheni katoa hela bandia.nina wasiwasi maana mdau kagoma kabisa kuleta id au picha ila kaleta habari tupu
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,705
Likes
14,079
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,705 14,079 280
Siku kadhaa zilizopita niliweka Uzi nauza simu S3 ,
Nikapata mteja akanitumia SMS ila Ile simu tayari nilishauza.
Nikaona nimtafutie simu kwa mtu mwingine.
Wakati anapelekewa simu akaione kumbe ameshaandaa wezi wake tayari, wakamkaba Yule aliyepeleka simu wakamuibia Ile simu .
Huyu mteja alidai yuko Sinza darajani baada ya tukio akadai yuko Kimara. Na akakana kutaja Sinza.

Mwizi wangu najua humo humu na namba yangu umeichukua humu na umefanya nasambazwa Whatsap Kama mwizi wa simu ila nitakupata tu. Halafu mbaya zaidi ni Mtandao wenye wanaume na wanawake.
Tahadhari ukipata mteja muite aje eneo ambalo ni salama.
 
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Messages
2,813
Likes
2,217
Points
280
google helper

google helper

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2013
2,813 2,217 280
wewe uliitwa na mteja ?
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,031
Likes
62,118
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,031 62,118 280
Sijaelewa....namba uligawa kwa mtu au aliipataje? Ulitafuta simu kwa nani? ? Je namba ya huyo mtu uliye mtafuta ipo? Kwanini usiiweke hapa madam
 
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
15,705
Likes
14,079
Points
280
Hornet

Hornet

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
15,705 14,079 280
Namba yake bado
Sijaelewa....namba uligawa kwa mtu au aliipataje? Ulitafuta simu kwa nani? ? Je namba ya huyo mtu uliye mtafuta ipo? Kwanini usiiweke hapa madam
inafanyiwa kazi.kesi iko polisi tukimaliza nitaiweka hapa.
 
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2014
Messages
28,031
Likes
62,118
Points
280
Age
21
Daby

Daby

JF-Expert Member
Joined Oct 26, 2014
28,031 62,118 280
Namba yake bado

inafanyiwa kazi.kesi iko polisi tukimaliza nitaiweka hapa.
Oouh nimekuelewa.

Poleni saana. Humu sio pazuri. Ngoja nielekee mtaa wa pili kuna mwenzangu naye kapigwa
 
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Messages
4,946
Likes
1,246
Points
280
kashesho

kashesho

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2012
4,946 1,246 280
Yaani hizi biashara za mtandao kuweni makini sana jamani mtakuja kupata wateja majini ndio mtakaa sawa. Pole mpendwa
 
mtzmweusi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Messages
5,045
Likes
3,369
Points
280
mtzmweusi

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2013
5,045 3,369 280
siku nyingine kuweni makini sio kila mtu yupo kwa wema na usiende kuoanana na mtu hamjuani ukiwa mwenyewe pia jaribu kuchek mazingira yapoje
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,841