kissa anyigulile
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 1,550
- 1,733
Ni story ya kusikitisha. Ugomvi wa kiwanja. Nimeiona hiyo nyumba inayotakiwa kubomolewakijuujuu tu. Tafadhali mwenye picha kamili
Funguka mkuuMbona hii imetokea tangia alhamisi!? Polisi wao wanasemaje!?
Mwenye nyumba alivamia kiwanja cha huyo mwalimu. Kesi ikaenda mahakamani. Mwenyenyumba akashindwa. Ikaamuliwa nyumba ibomolewe. Akamwomba mwalimu amuuzie. Mwalimu akakataa.pole sana, hebu tupe hicho unqchokijua
Sasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!Mwenye nyumba alivamia kiwanja cha huyo mwalimu. Kesi ikaenda mahakamani. Mwenyenyumba akashindwa. Ikaamuliwa nyumba ibomolewe. Akamwomba mwalimu amuuzie. Mwalimu akakataa.
Risasi zikafuatia baadae.
Duh inasikitisha snSasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!
Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo muuaji mshenzi Tu Hakuna Sababu ya kutoa uhai wa mtu hapoSasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!
Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa naye kwann ajenge sehemu hisiyo yakeSasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!
Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kutapeliwa ndugu. Mtu anakuuzia kiwanja na documents anakupa. Sasa ni wachache sana wanaojua taratibu za kuhakiki uhalali wa viwanja maana hata watendaji wa serikali nao wanashiriki utapeli huu.Sasa naye kwann ajenge sehemu hisiyo yake
Kuna awatu wajeuri,unaweza kukuta mnunuaji alijua kabisa eneo ni la watu,Sasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!
Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Ila kwa namna ilipofikia ingebidi waende taratibu maana huyu aliyefanya mauwaji kwa haraka naweza hisi alipatwa na ukichaa wa kupoteza mali. Nyumba haihamishiki. Ni mawili, amlipe hela mwenye kiwanja tena bei atakayotaka yeye mwenye kiwanja na sio anayopanga huyo mvamizi.Kuna awatu wajeuri,unaweza kukuta mnunuaji alijua kabisa eneo ni la watu,
Ila akatumia ubavu tu kuforce kuona ana connection au pesa akajenga.
Kuna watu wanazingua acha tu.
ticha naye bana aaaaah.Mwenye nyumba alivamia kiwanja cha huyo mwalimu. Kesi ikaenda mahakamani. Mwenyenyumba akashindwa. Ikaamuliwa nyumba ibomolewe. Akamwomba mwalimu amuuzie. Mwalimu akakataa.
Risasi zikafuatia baadae.
hatujalalishi mauaji mkuu,tunatafakari maamuzi ya mwalimu.yalikuwa na kiharakati zaidi.Huyo muuaji mshenzi Tu Hakuna Sababu ya kutoa uhai wa mtu hapo
hivi uko serious au unaongea utani nakuheshimugi sanaSasa nae huyo mwalimu mtu ameshajenga hadi nyumba why asingekaa nae chini wayajenge?!
Maana unaweza taka mtu abomoe nyumba ambayo kajenga kwa shida then wewe ukapata eneo lako then yule mtu inakuwaje, pengine ametapeliwa?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Acha kurahisisha,Hawa watu wanakela,I have the same story,Kuna baba mdogo alikabidhiwa nyumba ya baba ambayo Ina ofa ya hati miliki, kwa kumdharau baba eti Ni mlevi akakatalia pale home maana baba alikuwa mtumishi sehemu tofauti na pale ilipo nyumba na jamaa ameishi Sana pale Hadi akawa Kama mmiliki,sasa ilipofika muda wa kumuondoa ikawa ngumu,jamaa amejenga na kuboresha Sana pale nyumbani.ticha naye bana aaaaah.
sasa mtu anataka akupe hela unaleta gubu la nini??