King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,976
Hahahahaha mie nna zero tolerance na hiyo aisee. Nitamuambia kabisa kama hauna headphones zima hiyo makitu. Yaani aisee!
Nyingine hii, mko kwenye usafiri wa puplic basi anatokea mtu anaweka loud speaker kwenye simu yake, simu yenyewe mchina na music hata haujulikani ni dogoli ama segere.... Wakati huo ndo muwe mnarudi home... mmechoka akili, mwili na damu. Huwa natamani nimwambie azime kha!!!!!