PLL
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 882
- 400
kuchokonoa chokonoa pua mbele ya watu..af akimaliza anakupa mkono huo huo msalimiane au muagane
Uwi cpendag na haka katabia pia mimi hata kama kanisani nawakwepaga hawa watu,yani ckup mkono wangu
Au anachokonôa pua af anfutia katka seat amekaa yani ni zaidi ya kgichefuchefu