miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,011
- 3,708
Kuongea na mtu mpaka umguse au neno unaliishia kati afu wewe ulimalizie.
Mfano akisema tutae.......basi wewe umjibu nda.Teh teh teh
Mfano akisema tutae.......basi wewe umjibu nda.Teh teh teh
Umeweka kile waswahili wanachokiita "mtego wa panya unasao waliokusudiwa na wasiokusudiwa".
Wengine wanaweza kuelewa kwamba hii tabia ni ya Watanzania kwa maana Watanzania wana DNA based predilection kufanya hayo, na hakuna anayeweza kuepuka.
Kama hizi tabia ni za kichafu, kijinga, kipumbavu etc, sema hivyo.
Usitukane watu wa nchi nzima kwa sababu kati yao kuna wachafu, wapumbavu na wajinga.
Una hakika ni za Kitanzania?
mtu anajiachiaaaaa mguu mmoja kule mwingine kule ...
Kuna hii sasa
Mmekaa kwenye foleni say unachat na wana kupitisha time kuna boya katoa mimacho kwenye simu yako anasoma kila kitu,yaaani mpaka ukikosea kuandika NYUMBA anatamani akuambie sio numba ni nyumba khaaaaaaaaaaaa!!!!!!
Dawa ni kuandika; NINAYE HAPA KAKAA UPANDE WANGU WA KULIA/ KUSHOTO NA NTAMFUATILIA NIJUE ANAPOKAA ILI USIKU TUMALIZE ILE ISHU
Au ni za Kichina????
Mmmh hii me pia inaniudhi sana utadhani liko kwake limekaa ktk kochi kubwa
dada Ennie upo jamani?Je mnaekaa siti moja kwenye daladala kisha anakuzungushia mkono kwenye siti uliyoegemea?
Au anasinzia halafu anakuegemea? Natamani nimtie konzi
Je mnaekaa siti moja kwenye daladala kisha anakuzungushia mkono kwenye siti uliyoegemea?
Au anasinzia halafu anakuegemea? Natamani nimtie konzi
Kuna madogo sijui wanakuwa wamepewa magari ya mashamaji zao basi wanapiga mziki mkubwa hadi kwenye makusanyiko ya watu ili mradi wa draw attention......
Kuongea na mtu mpaka umguse au neno unaliishia kati afu wewe ulimalizie.
Mfano akisema tutae.......basi wewe umjibu nda.Teh teh teh
Kiranga ,hivi hakuna baadhi ya Watanzania wenye tabia hizo?
dada Ennie upo jamani?
jana ulikatiza sana kwenye mind yangu. Nilikukumbuka sana. usikute ndo ulikuwa unataka kumtia konzi mtu, lol!
Kuna madogo sijui wanakuwa wamepewa magari ya mashamaji zao basi wanapiga mziki mkubwa hadi kwenye makusanyiko ya watu ili mradi wa draw attention......
Yaani..unaona kama unakumbatiwa hivi..na kwapa sasa ndo uuuuwi!!!!
Mkwapa una ramaniiiiiii...halafu analalamika duuunh leo jooootoooo!!!!!!!
Haha ha haaaaaa!
Nipo ndugu yangu. Ahsante kwa kunikumbuka.
Nimechekaje?