Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Baadhi ya akina dada kwenda makanisani na nguo zisizi na staha.... yaan utakuta kavaa kinguo kifupi hadi aibu, mwingine mabega wazi au nguo ndefu ila imebana afu ya kitambaa cha poliesta.... Kha!!!!!
 
Baadhi ya akina dada kwenda makanisani na nguo zisizi na staha.... yaan utakuta kavaa kinguo kifupi hadi aibu, mwingine mabega wazi au nguo ndefu ila imebana afu ya kitambaa cha poliesta.... Kha!!!!!
mambo ya vibration dear
 
Wanao tongoza wanaume ovyo

Hii tabia imeshika kasi sasa hivi.

hapa hebu fafanua kidogo, waaanzilishi wa tongozo hapo unawalenga wanawake au wanaume wanaotongoza wanaume wenzao?
 
Una hakika ni za Kitanzania?

Hili swali kuna mtu kauliza hapo juu...nimemjibu huenda zipo kwa jamii nyinginezo ila hapa nimelenga pekee sisi Watanzania kwani ndio wahanga wa moja kwa moja kwa haya tufanyayo...
 
Ukiambiwa hujambo sio lazima utoe shikamoo. Kusini mtoto mdogo anaweza kukuambia hujambo na unajua wanaitikiaje......"eeeh".

anakuambia hujambo huku unamuona kbsa anataka apewe shikamoo. Yani anajiona kakuzidi balaa...
 
Kuna hii sasa

Mmekaa kwenye foleni say unachat na wana kupitisha time kuna boya katoa mimacho kwenye simu yako anasoma kila kitu,yaaani mpaka ukikosea kuandika NYUMBA anatamani akuambie sio numba ni nyumba khaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Dawa ni kuandika; NINAYE HAPA KAKAA UPANDE WANGU WA KULIA/ KUSHOTO NA NTAMFUATILIA NIJUE ANAPOKAA ILI USIKU TUMALIZE ILE ISHU
 
Hili swali kuna mtu kauliza hapo juu...nimemjibu huenda zipo kwa jamii nyinginezo ila hapa nimelenga pekee sisi Watanzania kwani ndio wahanga wa moja kwa moja kwa haya tufanyayo...

Umeweka kile waswahili wanachokiita "mtego wa panya unasao waliokusudiwa na wasiokusudiwa".

Wengine wanaweza kuelewa kwamba hii tabia ni ya Watanzania kwa maana Watanzania wana DNA based predilection kufanya hayo, na hakuna anayeweza kuepuka.

Kama hizi tabia ni za kichafu, kijinga, kipumbavu etc, sema hivyo.

Usitukane watu wa nchi nzima kwa sababu kati yao kuna wachafu, wapumbavu na wajinga.
 
Duh! unaweza ua mtu kwa kihoro...

Back
Top Bottom