Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,670
- 11,333
Hii niliiona sana shule zetu za Boarding haswa kwa wanafunzi waliokuwa wakihitimu
Alafu mtu anaandika Watu8 kapita sasa hivi
Hii niliiona sana shule zetu za Boarding haswa kwa wanafunzi waliokuwa wakihitimu
Hapa ulitaka kumchokoza watu8 tu.Yaani siipendi hii tabia, Bodaboda anatakiwa kupanda mtu mmoja lakina unakuta watu8 wamepanda huku inakoroma weee, kelele mtindo mmoja!
Tabia nyingine ya hovyo ni ile ya watu kutupa kondom zilizotumika sehemu za wazi kama vile barabarani/njiani. INAKERA SANA.
Yup...halafu sasa hata kukutana na wewe hawajawahi! Hawajui unafananaje....hata hawajui unaitwa nani...wanachojua ni habari za umbea tu wanazopeana.
Wajinga kabisa.
kuchokonoa chokonoa pua mbele ya watu..af akimaliza anakupa mkono huo huo msalimiane au muagane
Hata hii ya kushangaa ukweli huwa inanikeraaaa!!! :becky:
Halafu awe nawe siti moja kwenye daladala na mdomo wake uwe una "aleji" na mswaki,utatamani ushuke!
Dah hii ni mbaya sana...maana tukiwa watoto nakumbuka tulikuwa twaziokota na kuzipuliza kama maputo...dah!!
Yaani Watu8, usinikumbushe mana nililia siku moja kiasi ilibidi nimpige mswaki mwanangu na kumpeleka hosp saa hiyo hiyo, baada ya kumkuta kaokota hiyo ndude na kulipuliza na kudai ni puto. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii !!!! sitaki kukumbuka, na walaaniwe wote wanaotupa hizo condom hovyo.
4. Kuna watu wenye tabia ya uchafu, wanapotumia "chewing gum/Big G" wanaebandika kwenye makochi, kuta, viti vya ofisi, majumbani.
Ukiwa mtu mzima unabaki unajishangaa ilikuaje na sidhani kama utasema ni wewe hasa ukizingatiwa maandishi yameandikwa chooni tena kwa kinyesiWengine walikua wanaandika kwenye kuta...mathalani "Akumbukwe Jodoki Kalimilo"