Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Tabia za Kitanzania zinazonikera...

Nakumbuka wakati tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo, rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia yuuusuuufuuuuu...!!

Si tulikuwa na jamaa mmoja, alikuwa na uwezo wa kujamba darasa la A anahama na harufu yake kwenda B na C. Halafu alikuwa mbabe usipime. Thubutu kusema amejamba, anakushika uso na kuuweka direct propotional na kijambio chake. Lazima uimbe kikwenu hapo.

Ha ha ha!!!
 
hahahahahhahah
Nakumbuka wakati
tupo primary kuna jamaa alikuwa na uweze wa kuwaita mfululuzo kwa majina
yao wanafunzi kama 10 hv kwa kupitia vijambo, yaani daudi, asha, pendo,
rose, rabeka, emma, anania, hamza, chale halafu anamalizia
yuuusuuufuuuuu...!!
 
Back
Top Bottom