asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
Umesahau wasafiri wa Dodoma - Iringa kupitia mtera........yaani hadi nyama mbichi na kuku wanatundikwa kwenye carrier na ukiuliza gari zima wanakutukana.
mkuu achana kabisa na huo usafiri kafiri......