Tabia ya mke wangu siipendi ila hataki kuiacha

Inamaana wewe hujui kitu kuchakaa kinamaanisha nini?
Tatizo sio kuwa mpya au ziwe zimechakaa tatizo ni zikifuliwa zinaanikwa nje faragha ya mke wangu anaestahiki kuijua n mm tu iweje yeye aanike nje na pasi ipo kama ni wingi ni nyingi za kutosha anauwezo wa kubadili hata mwezi mzima zisiishe,

Nazungumzia kwa mke wangu wa ndoa na wala sio sogeza tukae, nimeamua kuoa ili nifichiwe aibu yangu nae nimfichie yake kwa maana tustiriane wote sasa yeye kwanini siri za ndani azianike nje ilhali mbadala upo.

Humu naona mnajadili hii hali kibachela sana kama mtu na mpenzi wake na sio mke wa ndoa na kama ni mke wa ndoa basi si katika maisha halisi ya mtanzania.

Kuanika nguo za ndani katika halaiki sio vizuri vyote, wivu, husda na mambo mengine vinaweza husika lkn kikubwa ni kujistiri kama wanandoa.
 
Hayo ni mambo madogo sana tembea uwone, huku wanawake vitovu viko nje 24/7 hizo chupi zao ndio utaziona uko barabarani mpaka utachoka kuangalia.... Tafuta sehemu ambayo itakuwa salama kwako na familia yako
 
Na ndiyo nikasema mnajadili maisha tofauti na maisha halisi ya mtanzania lkn kwa maisha halisi mke lazima ajistiri, mambo za ndani ni kwa ajili ya mmewe tu
 
Mtwange mtu ngumi jiwe akili zikae sawa(mabaga fresh ft juma nature,mtulize kabla hajakutuliza.
 
Nakuhakikishia mkeo kama anaanika chupi ndani basi mafangasi hatokaaga akapona.

Huwezi kuwa unavaa chupi za cotton ukazianika ndani never ndo yale machupi ya wake zenu yamefubaa kwa kuyaanika bafuni.

Wacha sisi wasafi tuzianike nje. Hata unitukane vipi nakuhakikishia kati ya top 10 wanawake wasafi duniani sikosi. Mimi ni msafo mpaka basi. Tukana tusi jingine.
Tufanye hivi,anika ndani afu zikianza kukauka kauka piga pasi kuua vijidudu,hapo vipi?
 
Chupi zina shawishi sana kwa baadhi ya watu, nikiwa chuo kuna jirani yangu alikuwa akiishi na mwanamke wake ni mzuri sana vijana walikuwa wanamtolea macho sana, alikuwa na tabia kama hiyo ya mkeo. Kuna siku nipo ndani dirishan nikamuona jirani anailamba chupi na kuinusa+kuikiss kwa hisia sana almanusura atoe machozi (huyu alikuwa na ukaribu sana na jiran mwenye mke). Kwa hali kama hiyo n rahisi hata mtu kufanya kitu kibaya
Hahahahahhahahahahahahahahha khaaaaa mjuba alikuwa akiramba sehemu inapokaa kimbwigu??dah ila kuna wahuni wamepinda.
 
Chupi zina shawishi sana kwa baadhi ya watu, nikiwa chuo kuna jirani yangu alikuwa akiishi na mwanamke wake ni mzuri sana vijana walikuwa wanamtolea macho sana, alikuwa na tabia kama hiyo ya mkeo. Kuna siku nipo ndani dirishan nikamuona jirani anailamba chupi na kuinusa+kuikiss kwa hisia sana almanusura atoe machozi (huyu alikuwa na ukaribu sana na jiran mwenye mke). Kwa hali kama hiyo n rahisi hata mtu kufanya kitu kibaya
Kwa kifupi jamaa alikuwa analick,anasniff na anakiss[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mwenye matako madogo anavaaga machupi makubwa? Anafunga na mkanda anayaweka luksi au?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]haaaah ila we jamaa akili zako sidhani kama ziko sawa dah..nmecheka sana dah
 
Sio hivyo mkuu, kweli we unaona sawa alivyojibu mkuu
 
Manina[emoji3][emoji16][emoji16]
😂😂😂

Mtazamaji
Hicho ni chuma, kula
FB_IMG_1699078554147.jpg
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
kwan michupi yenyew ni mikubwa sn
 
Huo sasa ni umama,mwanamke mpe ngumi jiwe
Hahahhaha mkuu unakaa na mkeo kama wanavokaa Palestine na israel

Mm naamini wanawake akili zao ndogo lkn ni wabishi sana ndo maana single mother ni wengi mtaani kazi kuwalaumu waliowazalisha wakati wametolewa nduki kwa ubishi wao
 
Sio hivyo mkuu, kweli we unaona sawa alivyojibu mkuu
Kuna wanawake kiasili ni wanene ila hawana matako makubwa, kwaiyo sio kila mnene ana tako kubwa mkuu nilikuwa namaanisha ivo
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Na wewe anika na zako hapohapo nje hata zilizotobokatoboka
 
Habari wana jamii....

Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.

Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Mhhhh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom