Chupi zinashawishi mkuu zinachora picha ya vitu vya ndani vya mwanamke kwa marijali wasiowahi kuona izo mambo lazima wataanza kumezea mate ila hawa viumbe wabishi sana mkuuNyeupe[emoji445]nyeupe kweli wewe wesafi,mimi mwanamke anaevaa kyupi nyeupe nadata balaaa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]safii, mpaka maji muite MMA
😬 😬 😬 😬 😀[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
Mvua ikinyesha jirani(kijidume kimebarehe juzi) kinaenda zianua tukirudi kazini kinagonga "shem niliona zinaloa nikazitoa izi hapa" hivi huwa hamuoni aibu?Muambie akianika azifunike na mtandio mwepesi. Nguo za ndani ni vizuri zikaukie juani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unamaanisha ninunue nyingi kiasi kwamba ikichafuka anatupa hafui au unamaanisha nnJitahidi kumjali kwa kumnunulia chupi mpya hizo unazolalamika zimechakaa na hutaki anaanike nje na bado anazivaa......
Angekuwa mkwe wangu kama chupi ni mpya hata getini anaweza kuanika....
Work hard to find your own privacy
Tatizo liko hapo,kungekuwa na wapangaji wa kike usingelalamika,punguza wivu,usimchukulie usiriazi sana kiumbe anayeitwa mwanamke,utakufa mapemaHabari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Kwaiyo wewe mkeo(kama wewe ni wa kiume lkn) hata akitembea na chupi tu mtaani huna shida eti mkuuTatizo liko hapo,kungekuwa na wapangaji wa kike usingelalamika,punguza wivu,usimchukulie usiriazi sana kiumbe anayeitwa mwanamke,utakufa mapema
Mimi nikiona aibu wewe kuna faida yoyote unapata maishani mwako? Ukianika chupi zako ndani kwako wewe inatosha tusipangiane maisha tafadhali [emoji706][emoji706]Mvua ikinyesha jirani(kijidume kimebarehe juzi) kinaenda zianua tukirudi kazini kinagonga "shem niliona zinaloa nikazitoa izi hapa" hivi huwa hamuoni aibu?
Kwako sawa ila kwa mke wangu haipo ivoMimi nikiona aibu wewe kuna faida yoyote unapata maishani mwako? Ukianiaka chupi zako wewe ndani kwako inatosha tusipangiane maisha tafadhali [emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona safi tu,ungejua wafanyayo wake zenu usingehangaika na chupiKwaiyo wewe mkeo(kama wewe ni wa kiume lkn) hata akitembea na chupi tu mtaani huna shida eti mkuu
Habari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Mbona kama leo una hasira,nan amekuuzi babe?[emoji2]Mimi nikiona aibu wewe kuna faida yoyote unapata maishani mwako? Ukianika chupi zako ndani kwako wewe inatosha tusipangiane maisha tafadhali [emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]Mbona kama leo una hasira,nan amekuuzi babe?[emoji2]
Nani anamjua huyu jamaa humu? Hiyo ndio maana ya fake id na definition ya "where we dare to talk openly"Utavunja ndoa yako mwenyewe kwa ulimbukeni. Mambo yako ya ndani unayaanika hapa ili upate nini zaidi ya hasara mwanangu?
Inamaana wewe hujui kitu kuchakaa kinamaanisha nini?Mkuu unamaanisha ninunue nyingi kiasi kwamba ikichafuka anatupa hafui au unamaanisha nn