Rebuild
JF-Expert Member
- May 26, 2020
- 3,690
- 7,337
Ukiona hivyo huna sauti kwakwe tena.Habari wana jamii....
Mke wangu anapenda kuanika nguo zake za ndani nje ambapo kamba imepitia kwenye vyumba vya wapangaji wenzangu na wote ni wa kiume akidai kuwa zinatakiwa zipigwe jua kwani wataalam wanashauri hivyo.
Huwa namwambia siipendi hiyo tabia bora atafute sehemu nyingine iliyostirika zaidi kuliko kuanika michupi mikubwa kila mtu anaona ila hanielewi. Kiukweli huku tunakoendelea ntaanza kumpa kadi ya njano kuashiria nyekundu inakuja naona ananidharirisha kwa watu.
Jitahidi ukumbuke kwanini mwanzo alikuwa anakusikiliza sana lakini wakati huu hakusikilizi.
Sababu ipo mkuu.Tafuta hiyo sababu fasta muishi kama wanzo.
Mkuu wana mapungufu hawa viumbe lakini yanatofautiana.
"Huwenda ukakichukia kitu na hiko kitu kumbe kina baraka ndani yake"
KUWA NA SUBIRA KWANZA.