py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,454
Hii njia nilitumia walikuwa wanaingia ndani na kufukua mifuko ya Rambo sasa mikelele tupu ya mifuko usiku tulivu nikawa namwagia mafuta ya taa sasa karibia wote wamekimbia baada ya kuona mianya ya chakula hakuna ila bado kuna 2 hawa dawa yao ipo jikoniDawa ya paka ni mafuta ya taa pekee.