Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Teh teh teh. Nimecheka sana
 
Haha hapa kwa jirani kuna paa la bati lipo wazi linaangaliana na home sasa paka wameweka makazi saizi wamebaki 2 wabishi kinoma wanakera nimekuwa mkuda wakishuka kwenye ukuta kama hawajaniona nawatembezea stick na nikiwaona karibu nawakimbiza na fimbo ila wabishi ila saizi wamejenga uoga ..ila dawa yao ipo jikoni mpaka watahama
Alaf yana penda kujipendekeza kwa wageni kinoma.mgeni akija linajifanya linakwenda kumpokea.mixer kujiburuza buruza miguuni mwake.sasa ikiwa Mimi nitatokea ghafla linajifanya linakimbia eti lina niogopa.mgeni si atauliza vipi bwana.mbona ulivyokuja wewe tu paka amekimbia?nilikuwa nakasirika kinoma.
 
Siwapendi paka!hawana ustaarabu kabsa!anakunya ovyo!analala ktk sofa!hangalii muda huu kuna wageni au laah!
Basi wewe utakuwa mchafu maana paka wanapenda kuishi mazingira ma Safi.Ndio maana wakienda haja wanafukia.Fanya hivi mkuu tafuta box au karai weka mchanga msafi Halafu wawekee.Badilisha mchanga baada ya siku tatu uone kama wataku.nya hovyo.
 
Alaf yana penda kujipendekeza kwa wageni kinoma.mgeni akija linajifanya linakwenda kumpokea.mixer kujiburuza buruza miguuni mwake.sasa ikiwa Mimi nitatokea ghafla linajifanya linakimbia eti lina niogopa.mgeni si atauliza vipi bwana.mbona ulivyokuja wewe tu paka amekimbia?nilikuwa nakasirika kinoma.
Basi wewe mjingamimi huwapendi hao paka au ulikuwa unawapiga ndio maana wakikuona wanakimbia.
Vile vile mgeni akiwa hakuja kwa wema paka kamwe hawamsogelei.
 
Nilikuwa nampiga kweli.na mpaka Leo uwa sipendi mazoea na paka.usiku kuna mwenzie alikuwa ana kuja.basi yanaanza kucheza kama yanapigana na wanalia milio ya ajabu ajabu.wanakera.nikiamka natafuta mawe yangu tu.
Sasa kesho akija mgeni ndo anafanya hivyo kumpokea na akikuona we we anakimbia.nia yake wewe uonekane mbaya kwa mgeni.kumbe yeye ndo anaanzaga kukuchokoza.kesha kula sana viporo vyangu vya nyama na samaki.
 
Alaf yana penda kujipendekeza kwa wageni kinoma.mgeni akija linajifanya linakwenda kumpokea.mixer kujiburuza buruza miguuni mwake.sasa ikiwa Mimi nitatokea ghafla linajifanya linakimbia eti lina niogopa.mgeni si atauliza vipi bwana.mbona ulivyokuja wewe tu paka amekimbia?nilikuwa nakasirika kinoma.
Ndio walivyo wao haha,ukiwaendekeza wanazoea na paka mjanja sana anamsoma mtu na kumtambua mwema na mbaya na ukianza kumpiga lazima akukwepe muda wote ..paka ni rafiki wa yule anayempatia mkate ukiona paka ana urafiki na mtu basi ujue huyo mtu anamlisha

Mfano matha akiwa nje utaona paka wanaanza kulia milio ya kubembeleza na kushuka ukutani ila nikitoka wanakimbia na kila nikisikia sauti zao za kubembeleza huwa natoka na lazima wakimbie ,nimemuambia matha kabisa abadilike yy ndio anawalea..

Paka nimetangaza nao vita sabb moja makelele yao yanakera usiombe usiku waanze kupigana,kupandana na kukimbizana juu ya bati na mikelele ya ajabu.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .wengine hawawezi kutuelewa humu.
Sasa usiombe aende huko anapoenda akamuokote kipaka kidogo kilichozaliwa siku si nyingi.akalete nyumbani.ako kapaka kanapiga kelele usiku kucha na akalali wala akanyamazi mpaka asubuhi.mkiamka tu lazima mkatafute kwa UDI na uvumba mkakitupe.
 
Nilikuwa nampiga kweli.na mpaka Leo uwa sipendi mazoea na paka.usiku kuna mwenzie alikuwa ana kuja.basi yanaanza kucheza kama yanapigana na wanalia milio ya ajabu ajabu.wanakera.nikiamka natafuta mawe yangu tu.
Sasa kesho akija mgeni ndo anafanya hivyo kumpokea na akikuona we we anakimbia.nia yake wewe uonekane mbaya kwa mgeni.kumbe yeye ndo anaanzaga kukuchokoza.kesha kula sana viporo vyangu vya nyama na samaki.
Ahhhhh kumbe
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .wengine hawawezi kutuelewa humu.
Sasa usiombe aende huko anapoenda akamuokote kipaka kidogo kilichozaliwa siku si nyingi.akalete nyumbani.ako kapaka kanapiga kelele usiku kucha na akalali wala akanyamazi mpaka asubuhi.mkiamka tu lazima mkatafute kwa UDI na uvumba mkakitupe.
We acha mi nikimuona mtu anamsifia paka na kutaka kufuga namshangaa ,kwani ulidhani ilianzaje paka aliletwa home akamate panya sasa akawaleta wenzake kwenye paa huyo paka sijui kakimbilia wapi saizi nimekapiga sana na hapo kwenye paa wameletana kibao ila kwa ukuda wangu wamekimbia wote wamebaki 2 vinganganizi vibishi ila nitakula nao sahani moja lazima watahama ,usiombe atokee dume moja kubwa lazima watapigana usiku kucha....ubaya wa paka lazima atakua na marafiki na hapo ndio tatizo huanzia
 
Back
Top Bottom