Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

Tabia na sifa za Paka ni za kushangaza

ujinga wa paka ni pale anapovuka barabara!!
-kweli anajua kuna magari, na ni hatari kuvuka bila kutazana pande zote
-husimama na kutazama kushoto kwa zaidi ya dk 5
-kisha hutazama na upande wa kulia zaid ya dk 5
-Kisha huvuka kwa madoido bila kutazama tena kushoto na gari imekaribia

Ghafla utasikia ..waaaaauuuu....! (kashabutuliwa na gari)

we wachunguze wanapovuka barabara
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unazungumzia paka wapi mkuu...paka mapepe au paka shume...paka mapepe ni yule anayekunyia kwenye unga na sukari...wakati paka shume ni yale mapaka yahaya..hayana makao maalum
 
hawa viumbe nshawahi kuwafuma usiku live wanagegedana..sasa kuwaangalia tu wanavyofanyana najiharibia mood yangu.

nikirisha jiwe ..nukipiga vishindo waachane wapi!! ndo kwanza wanazidisha mauno..

mi nahisi paka anawazidi hadi nguvu za kiume wanadamu cz anapiga mzigo hata saa nzima non-stop.
Si kweli hata dakika wakae sekunde tu
 
280ae994e4e16f301d09bb4ee94d738d.jpg


Paka wakifanya mapenzi wanapiga sana kelele na huwa wanachukua mda mrefu sana kumaliza shughuli yao...

Hii inaweza ikawa ina sababishwa na maumbile ya Uume wa paka dume... Inasemekana shape ya uume wa paka dume ipo kama kiwaya kidogo chenye mafundo fundo.. Yaani kama ule waya wa senyenge (fensi ya waya)

Sasa paka dume akiwa anamwingilia paka jike ule uume wake huwa una mkwangua yule paka jike ndo maana anapiga kelele sana..

Pia dume atahitaji mda mrefu sanaa kuweza kumcontrol yule jike na kuhakikisha mbegu zake zinarutubisha mayai ya jike vizuri...
 
Paka wanapenda kula placenta(kondo la nyuma la mama aliyejifungua.)kila hosp wanajifungulia paka huwa hakosekani.
 
Tofauti ya paka na mbwa: mbwa anajua yeye ni msaidizi wa mwanadamu, paka anadhani yeye ni boss wa mwanadamu. Yanapenda uboss sana yanafurahisha
Huwa nahisi paka wanafikiria wao ndo wanatumiliki sisi.. ila napenda sana paka.. mnyama mmoja mzuri sana.

Wanasema watu wanaopenda paka huwa na akili zaidi kulinganisha na wanaopenda mbwa.. ila 'wanasema' sina uhakika.
 
Ninachojua ni nadra sana kukuta mwanamke/msichana anapenda paka. Sababu kubwa ni kwa sababu wanafanana tabia, Paka anapenda kupendwa na kuwa cared of, na mwanamke naye ana tabia hizo hizo.
Physics ilishaweka wazi kwamba pande mbili zinafanana hukwepana, muongeaji hupenda kukaa na wasikilizaji si waingeaji wenzake. Kundi pekee ambalo hupenda kuwa pamoja ni lile la wabishi na mashabiki.
Mwanamke hupatana na mbwa kwa kuwa Upendo wa Mbwa ni unconditional na yeye hupenda kupenda no matter what.
Tabia nyingine ya paka ambayo unapaswa kuifahamu ni kwamba huwa hadondokei Mgongo, kwa wasomi wa literature wa enzi zile kama mnakumbuka, ndiyo maana yule jamaa aliyekua akiitwa Okonkwo alikua akijiita au akiitwa paka sababu hakuna aliyewahi kumdondosha katika ile muchezo ya mieleka.
Kingine kuhusu paka ni msafi sana, awapo macho paka hutumia muda mwingi akijilamba/akijisafisha mwili wake.
Kama unapoishi pana nyoka basi fuga paka, kama hawataliwa basi nyoka lazima wahame, (kitimoto pia ni mlaji mzuri wa nyoka).
Uwezo wa paka kuona ni black and white.
Lastly be careful, hapendi kuacha kinyesi chake kikiwa kinaonekana, hivyo basi kama utaacha unga wazi atajisadia humo na kufukia ukija kuchota unga unaweza ukayasonga kwenye ugali. Kijijini huwa tunachekecha unga kabla ya kuutumia.
 
Mmesahau hii hapa

Paka kiboko yake ni tango..(cucumber) ila tafadhali usijaribu ina madhara sana kisaikolojia kwa paka
Ni hivi kama unampenda paka wako usijaribu narejea tena usijaribu wala kuthubutu kuweka tango(cucumber) nyuma ya paka bila paka kujua.ama kumvizia kalala alafu uweke tango karibu yake akishtuka anaweza moyo ukashtuka na kupelekea kifo chake.


Sababu zipo nyingi na wanasayansi wameelezea kwa nn paka anaogopa zaidi tango hasa akiliona kwa surprise hasa nyumba yaka....tafuta mitandaoni utaona maelezo hayo
 
mimi nishawahi kuona wakigegedana more than one time tena mchana,ingawa nakili kuwa kweli paka ni mnyama mstaarabu ukilinganisha na wanyama wengine wanaofugwa na binadamu,mfano ukiwa umefuga paka na mbwa nyumbani kwako,paka nae huwa anajifanya kama binadamu mbele ya mbwa,yaani anamwona mbwa ni mbwa!
Hahahahaaaa eti anamwona mbwa ni mbwa tuu,,mkuu umeniacha hoii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom