Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Daah anachokonoa pua afu mnapiga story anataka mgonge mikono aaah kmmk 😂😂😂😂Bila kusahau ambao kila sekunde anachokonoa tundu za pua .
Daah anachokonoa pua afu mnapiga story anataka mgonge mikono aaah kmmk 😂😂😂😂Bila kusahau ambao kila sekunde anachokonoa tundu za pua .
ina tegemea na mtu na mazoeaKuomba omba ovyo pesa mitandaoni
Bila kusahau ambao kila sekunde anachokonoa tundu za pua .
Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako
Kushindwa kufika kwenye kikao bila taarifa na kuchelewa kikaoni bila sababu za msingiTabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Mh umwambieAlikuwepo karibu yangu mmoja aisee halafu anapenda kula kula,sasa akinunua kitu hanawi mkikono, unakuta anakugawia kakishika ukikataa analalamika huyooo.
Au sioMkishindwa kufika kwenye kikao bila taarifa na kuchelewa kikaoni bila sababu za msingi
Nawao ni majenereta sihof hiloWadogo zako wakija kwako hawatalala
Mh umwambie
Kumbe ngoma drooNawao ni majenereta sihof hilo
Ndoa maana mkeo anakufanyia uhuni kwani unajikuma sana pumbu mzee. 😆😆😆Mtu anakuna pumbu kwaaa kwaaa halafu ananusa
Si una mkwepaNilikua namwambia ananuna siku nzima
Tulishavurugwa tusipangiane unakereka ondokaKuna mahali tulikua kwenye semina daaah jamaa mmoja nikamshuhudia kafanya hivyo, yani hata muda wa chakula nlikua napata kinyaa kushika ile koki ili ninawe....... Kuna watu hawana ustaraarabu kabisa
Yote Kwa yote,ina tegemea na mtu na mazoea
Watu wadodoma hawawezi kukuelewaYote Kwa yote,
kuomba omba ni Tabia mbaya
Kitambaa si buku lakini kuna hadi vya jero vile vya vitaulo taulo, kwanini ukapenge na mkono na ujipake pake kama mafutaTulishavurugwa tusipangiane unakereka ondoka
No 3 nadhani ni shida mtu sio ya kajitakiaTabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Unajuaje kama haja nawa maan now kuna vyoo wanaweka na tishu au mashine za kukausha mikonoKutonawa mikono baada ya kutoka toilet
Watu wanalala mdomo waziNo 3 nadhani ni shida mtu sio ya kajitakia