Tongo Elamu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2020
- 2,904
- 4,398
Hizo wahaya ndiyo zaoMtu anakuna pumbu kwaaa kwaaa halafu ananusa
Hizo wahaya ndiyo zaoMtu anakuna pumbu kwaaa kwaaa halafu ananusa
Ni uchafu uliokithiriKuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Unapenda milio eehDaaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji wenzangu ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....
Kuna wale wanachokonoa pua na kidole halafu ni wakwanza kutoa salamu ya kushikana mikonoKuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Ndio broUnapenda milio eeh
Kabisa, uchafu na kukosa ustaarabu kwa kiwango cha juuNi uchafu uliokithiri
Na kuwavurugia watu wengine ustaarabu waoKabisa, uchafu na kukosa ustaarabu kwa kiwango cha juu
ina faida gani broNdio bro
Faida yake ni kama tu pilipili kwenye msosi bro 😁ina faida gani bro
😂 bro unazinguaFaida yake ni kama tu pilipili kwenye msosi bro 😁
🤢🤢🤢🤢🤮Koh..! Koh...! Krrrrrruuu... ptu!
Sa je anaesokonyoa halafu anakula🤢Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
PoleVYUMBA VYA KUPANGA VILIVOKARIBIANA RAHA MPEANE NYIE KERO KWA WENGINE UNAKUTA MTU ANAPIGA MAYOWE HATA UFUNGULI REDIO SAUTI KUBWA BADO KELELE UNAZISIKIA KWANINI MSIFANYE KIMYA KIMYA HII ILIKUWA INANIKERA SANA MIAKA HYO.
Kuna ile ya mtu ana chew (kutafuna) chakula kingi kuliko uwezo wake, shit is irritating asf.Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Hahah😃🤣🤣🤣🤣Mtu anakuna pumbu kwaaa kwaaa halafu ananusa
Wachina kmmk zao kabisa,, wana hii tabia,, 😖😖😖Koh..! Koh...! Krrrrrruuu... ptu!