Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,363
- Thread starter
- #41
Duh jau sanaAnadhani hatujaona kumbe kuna hidden camera
Duh jau sanaAnadhani hatujaona kumbe kuna hidden camera
kumbe na wewe nimmoja wapoDaaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....
Na supu ya moto?😀😀Sijui nikuelezee vipi ila unakunywa vizuri tu
Si ndio kufahamianMambo yote fanya kimpango wako ila mambo yale ya kumfuatilia mtu ,sipendi kwa kweli ..Eti umeoa? Una watoto ? Unaishi wapi? Kabila gani? huu ujinga sipendagi kabisa.
Tumia kijikoNa supu ya moto?😀😀
Ahahahah mgahawani ni kawaida sana hiyoKuna sehemu moja nshawah kuenda mgahawan Ile nimefika namuuliza muhudumu Kuna nn na nn yeye kazi kujichokonoa pua nilighairi
Mpaka tumpigeKenge mnayemuongelea nipo nae hapa kanasema hata mumseme haachi ng'o 😂
kweli aisee akufukuzae akwambi toka.Hiyo inatwa jenga kwako
Sijawai kutana nayo hiyo ila ni ngumu ukiwa singlekweli aisee akufukuzae akwambi toka.
Hilo la kukoroma ni ugonjwa labda shauri matibabu, lakini mtu hawezi kujirekebisha.Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Hapana wengi wao wanalala mdomo wazi hafaungiHilo la kukoroma ni ugonjwa labda shauri matibabu, lakini mtu hawezi kujirekebisha.
😀😀😀Mambo yote fanya kimpango wako ila mambo yale ya kumfuatilia mtu ,sipendi kwa kweli ..Eti umeoa? Una watoto ? Unaishi wapi? Kabila gani? huu ujinga sipendagi kabisa.
Mtakaua bureMpaka tumpige
Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Bila kusahau ambao kila sekunde anachokonoa tundu za pua .Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Wanalalaga mdom waziKoloma? Daah!
Mtu anaye KOROMA sio wa kumlaumu kwasababu ni tendo lisilo la hiari