I think wanazaliwq nayo sijuiWatu wanalala mdomo wazi
Unakuta kamasi la kijani Halafu anakupa mkono akusalimie😏Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Jamaa aliacha chumba wazi 2012,bahati mbaya majirani wakati tunatoka toka ile asubuhi wanakulana na pisi yake sijui waliwehuka wale watu.VYUMBA VYA KUPANGA VILIVOKARIBIANA RAHA MPEANE NYIE KERO KWA WENGINE UNAKUTA MTU ANAPIGA MAYOWE HATA UFUNGULI REDIO SAUTI KUBWA BADO KELELE UNAZISIKIA KWANINI MSIFANYE KIMYA KIMYA HII ILIKUWA INANIKERA SANA MIAKA HYO.
Si uhame 😂Mibado naishi kwa shemeji hapa town, sema kelele za dada na shemeji usiku hua zinanikera sana nikiwa nimelala sebleni hadi naamua kuwasha Tv usiku wa manene..☹️
SijajuaI think wanazaliwq nayo sijui
Ndio na ushahidi 🤔Unakuta kamasi la kijani Halafu anakupa mkono akusalimie😏
View attachment 3326356
Sasa uho ni wivu na chukiJamaa aliacha chumba wazi 2012,bahati mbaya majirani wakati tunatoka toka ile asubuhi wanakulana na pisi yake sijui waliwehuka wale watu.
Ghafla akaja rafiki wa Binti kaingia moja kwa moja ndani naye hakutoka ikaendelea miguno huku wakiwa wamerudisha tu mlango.
Wapangaji wakaa kikao na mwenye Nyumba wakatimuliwa😀😀😀
Mi kukaa na kitu rohoni siwezi nishawahi nuniwa na Shangazi yangu kwa kumwambia ukweli😁😁Daah anachokonoa pua afu mnapiga story anataka mgonge mikono aaah kmmk 😂😂😂😂
usingizi ni nusu ya kifo,huwezi kujua kuwa unafumba au haufumbi mdomo ukiwa umelala. Na kukoroma ni tabia au hali ya asili inaweza kuja au kutoka yenyewe.Hapana wengi wao wanalala mdomo wazi hafaungi
Kumbe sawausingizi ni nusu ya kifo,huwezi kujua kuwa unafumba au haufumbi mdomo ukiwa umelala. Na kukoroma ni tabia au hali ya asili inaweza kuja au kutoka yenyewe.
Sihami mkuu...😞Si uhame 😂
mkuu inaonekana unapenda kusikia mikito kuliko kukitwa weweDaaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji wenzangu ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....
wa hivyo unachukua unaenda ndani unakiweka,akitoka unakitupa.Alikuwepo karibu yangu mmoja aisee halafu anapenda kula kula,sasa akinunua kitu hanawi mkikono, unakuta anakugawia kakishika ukikataa analalamika huyooo.
Mkuu wanasema ilikuwa tabia yao..mimi nilishindwa Umeme Umeme ulitaka kunitoa rohoSasa uho ni wivu na chuki
Vumilia sasaSihami mkuu...😞
Mh ase hao waswahiliMkuu wanasema ilikuwa tabia yao..mimi nilishindwa Umeme Umeme ulitaka kunitoa roho
Baadae anashikana na watu mikono wakati wanasalimiana heheheheKuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Sio tunawakutaga wanatukuta waoHao wenyenyumba mnawakutaga wapi