Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,586
- 66,282
- Thread starter
- #21
Ili uwe unasikia makelelDaaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....
Ili uwe unasikia makelelDaaah hii nyumba mie ningelipa hata kodi miaka miwili ili nisijekutoka, na hao wapangaji ngewakopesha kodi ikitokea wamekwama....
EwaaaahhhhIli uwe unasikia makelel
sasa si kasha kuzoeaKabla ya kuzoeana ulikua unapendeza vizuri tu tumezoeana unaanza kuvaa madera yako ambayo hayaeleweki, Khanga imepaukaa na nywele zako kitimtim kama kichaa yuko Halftime.
Ungekuwa unapiga nyeto tuEwaaaahhhh
Vipi kuhusu hustaarabuUpendo huvumilia yote
Hauhesabu mabaya.
Tujifunze kupenda watu.
HakikaUstaharabu muhimu
Mkuu sasa ikiwa ya Moto sana utainywaje?2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Hiyo kawaida sana kutokana na lafudhiMtanzania tena anaeonekana mzawa kabisa kushindwa kutofautisha herufi.
Kwenye R anaweka L kwenye L anaweka R alimradi vurugu,inakera sana ondoa kwanza boriti ndiyo uone kibanzi kwenye jicho la mwenzio
Anhaa! Nawewe unakera maana hujui matumizi ya "L" na "R".Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
SawaAnhaa! Nawewe unakera maana hujui matumizi ya "L" na "R".
Hivyo rudi shule haraka iwezekanavyo kabla hujaendelea kutukera zaidi!.
Sijui nikuelezee vipi ila unakunywa vizuri tuMkuu sasa ikiwa ya Moto sana utainywaje?
Basi kama nawakera watu basi kuanzia leo sinywi kitu cha moto mbele za watu😀😀
Sana
Mbele za watu 😂Mtu anakuna pumbu kwaaa kwaaa halafu ananusa
Hizi ni Tabia za Madanga Wazee wazee vile na vogari vyao ya Toyota Hilux.Kuna watu wa ajabu sana, mtu anashika pua moja anapenga kamasi kisha anajifuta mikono kama vile anapaka mafuta......pyaaaa kinyaa sana kinyaaa balaa
Anadhani hatujaona kumbe kuna hidden cameraMbele za watu 😂