Tabia mbaya walizonazo wanawake ila wengi wao huzificha

Tabia mbaya walizonazo wanawake ila wengi wao huzificha

Ngolewasima

Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
51
Reaction score
112
HIZI NDIO TABIA MBAYA ZAIDI AMBAZO KARIBU KILA MWANAMKE AWEZA KUA NAZO JAPO WENGI HUJITAHIDI KUZIFICHA.

1. Si wakweli hasa ikiwepo harufu ya pesa sehemu, mwanamke yuko tiyari kumuita mwanaume wake kinyago, mjinga, mwanaume suruali kisa kaishiwa hela, wanaume wengi sana wamesaidia wanawake mpaka wengine kuwasomesha wameambulia majibu ya kejeli na dharau, hii imenifanya niwatazame kwa jicho la 3 wanawake

2. Roho mbaya,
Mwanamke anaweza akawa anacheka na mume wake na ndugu wa umeme wake akiwepo kumbe kuna suala analichukia na ana plan za kulitimiza tena kwa njia isiyo sahihi SAA nyingine kumuua mtu au kumfanya msukule kabisa, na pengine kuwanyima hata huduma muhimu watu wanaokuja pale nyumbani kama mume wake hayupo.

3. Ushirikina, kwa tafiti za kweli na za uhakika asilimia 70 ya wanawake ni washirikina au wanaamini katika nguvu za giza sana sana, Mara utakuta vest yako au nguo yako ya ndani imepotea mazingira ya kutatanisha au ukiangalia uvunguni uone vinavyo ning'inia au ukiwa shambani kwako kuna mambo anazika chini wanawake jaman wanawake, hapa wanawake wamefika hatua kuchuja chai kutumia nguo zao za ndani kisa kumshika mume.

4 Wanarudisha maendeleo ya mtu nyuma sana, kila mwanume alipofeli kuna mkono wa mwanamke, na niwasaliti katika mission za maendeleo za muda mrefu, unaweza ukapanga na wenzako jambo baadae lika leaky usijiulize nani ni Huyo mwanamke, mifano hata kwenye biblia ipo sana kina Samson, kina Sarah na wengine, hata waziri mkuu wa Lebanon aliwahi kumfukuza mkewe kwa kuvujisha siri kwa Waisrael.

5. Mwanamke anajifanya ana huruma kumbe kuna anachotaka kwako hasa akigundua kuna kabiashara umefungua yaani hatari sana.

6. Ushauri wakikutana vikundi na kutulisha uchafu, " kijana una miaka 27, huu ndo umri wa kula kila aina ya uchafu kutoka kwa wanawake" Alinishauri mbibi mmoja akijua naye katokea uko, wanawake hatari.

7. Kutoridhika yaani hatari sana anaweza kuwa kwako kumbe we kwako ni kama mapito tu anatafuta final destination, yaani mwanaume mwenye hela na akishakuwa naye anaanza dharau.

8. Atakutenga na ndugu zako na marafiki wa karibu kupitia ushauri anaokupa ukilegea mnawatenga, ukionekana una msimamo anajifanya kuwapenda ila anabadili mbinu kama haupo anawadili ipasavyo hata marafiki wakija anawatreat vibaya.

9. Mwanamke ni mtu asiye na kujali mda kila mnapoenda kusimama kuuliza bei wakati anajua lengo la kwenda pale si kununua hicho, na saa nyingine hana hela anasimamisha machinga kujaribu nguo kuzitia nuksi wakati hanunui.

11. Suala la kumchuna mwanaume yaani mwanamke anaweza kuwa na sh laki moja lakini we una elfu moja tu, ya kwake anaficha anataka mgawane buku lako duh hatari sana yaani, au huduma ya kwenye familia anaona mwanaume ndo anapaswa kufanya kila kitu ambacho kinahitajika, hela zake ni za nywele na nguo tena zake we hununuliwi.

12. Mwanamke anaweza kuwa anajua fika kuwa ni mweka hazina wa kundi fulani au umekuja na hela unaipeleka sehemu, ukakuta kabisa ameitumia na anaona njia ni kumaliza tatizo ni kukuomba samahani tu yakaisha yaanu wanawake!

13. Anaweza tembea na boss wako alafu akamshauri wewe ufukuzwe kazi ili upigike yeyeatese he he, mh!

14. Ukiwa na appointment naye sehemu au hotelin ni wa kwanza kuwakoromea wahudumu wakati sio yeye atakayelipia na utasikia hawa wahudumu wa kitimoto hawatuoni sijui alafu bar yenyewe chafu, yaani anavyoichambua utadhani kalipa.

Pongezi kwa wale wachache wanaojiheshimu
 
Huwa naamini wazee wana busara lakini sisahau kwamba wajinga nao wanazeeka pia
 
Pambana na hali yako, tabia za mke/mpenzi wako sio za wanawake wote/wengi, unawatisha watu ujue
 
Hakuna mwanamke duniani atakosa hata tabia moja katika ya hizo
 
Back
Top Bottom