Au sioTabia nyingine ni hii ya mwanaume kutwa kujipikilisha jikoni kama kasuswa na dada zake
Unakela mkeoKukoroma siachi kwakweli
Umesisitiza kwa HERUFI KUBWA mkuuVYUMBA VYA KUPANGA VILIVOKARIBIANA RAHA MPEANE NYIE KERO KWA WENGINE UNAKUTA MTU ANAPIGA MAYOWE HATA UFUNGULI REDIO SAUTI KUBWA BADO KELELE UNAZISIKIA KWANINI MSIFANYE KIMYA KIMYA HII ILIKUWA INANIKERA SANA MIAKA HYO.
Ahahah numbisa na wewe unakula vibaya kwani? 🤣Namba moja usitualike kwenye misosi yako utakuja kutusimanga kwa mifano humu JF
Unamuheshimu mtu vizuri halafu unakuta ni shabiki la utopolo kwa kweli inatia hasira😥Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Achana na yanga yetu we mzeeUnamuheshimu mtu vizuri halafu unakuta ni shabiki la utopolo kwa kweli inatia hasira😥
Mimi kataa ndoa, no problemUnakela mkeo
Ahahah numbisa na wewe unakula vibaya kwani? 🤣
Tabia hizi zina kela watu wengi
1) Mtu anaekula na unamsikia kabisa anavyo tafuna Mdya mdya mday
Hii sio sawa tena mbele za watu ase
2) Unywaji wa chai hii shida ya taifa anaivuta kabisa fvuuuu fvuuu
Inashusha heshima sana unakuta mtu kaulamba vizuri unywaji wa chai ndio uho
3) Mtu anae koloma
Kuna watu wanakoloma vibaya mnoo kama generata bovu au gari moshi ase
4) Kucheka kuna watu baada ya kucheka mnachekesha watu yaani mnacheka vibaya sana mtoto wa kiume au wakike unacheka unajiachia mdomo wazi mpaka unalushia watu mate vibaya hii
Ongezea yako nyingine
Hao wenyenyumba mnawakutaga wapiMwenye nyumba au frame kuja kila mara na kukuomba umkopeshe na usipo mpa next time anakuzoea kuja kuuliza biashara inaendaje yanakhihusu nini
Wadogo zako wakija kwako hawatalalaMimi kataa ndoa, no problem
Kuna mahali nilihama kwa ajili hii yaani lazima umkopeshe😁Mwenye nyumba au frame kuja kila mara na kukuomba umkopeshe na usipo mpa next time anakuzoea kuja kuuliza biashara inaendaje yanakhihusu nini
Na urmebo uho hapanaHamna anayeweza kujijudge labda kwa wengine ninakuwa kero kwa ulaji bila kujijua😂😂😂
SawaTabia ya mtu kuandika kama anakimbizwa inakera watu wengi sana
Mfano wewe Mwachiluwi uandishi wako unakera kinyama...nakuvutia kasi nikuongeze kwenye ignore list
Kukutana na mtu mzima anayeandika maneno kama kukoloma ni ujinga mtupu...eti UHO
😂😂😂. We unamuangalia wa nini?Kuna wale Wajomba wakati wa kuswaki wana jaza maji mengi Mdomoni kisha, wana tazama Mbingu anaanza Kuunguruma Kroooooooo...