Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)
Umemsikia Prof Maji Marefu
 
Hana tatizo kwenye profession yake (geologist)

Tatizo lake liko kwenye uwajibikaji wake kama waziri.

Akaendelee kupiga chaki na kuandika mapaper mbona atafika mbali sana, lakini asiingie kwenye siasa malumbano hayawezi atakufa mapema bure kwa pressure.

Tena unaambiwa deni la Tanesco limepanda mara tatu zaidi tokea aingie madarakani. Huyo ndio wa kujivunia?
 
Punguza jazba wewe! Si kosa la Prof. Muhongo wewe kuwa hivyo ulivyo. Huoni kuwa wewe ndo unajidhalilisha kwa chuki zako za waziwazi?! Kama wewe humkubali, wapo wanaomkubali na kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake. Huyo fisadi papa Mengi ndo unadai anatambulika ndani na nje ya nchi? Kwa lipi? Wizi, wivu na chuki kwa wapenda maendeleo?
hata mimi pia simkubali
 
Sasa mbona wasomi wengine wanapigwa na kudharirishwa bila makosa, wafunguliwa kesi zisizo na misingi yoyote. Wakati taasisi kubwa duniani zinawatambua kwa usomi wao? Sembuse huyo aliiyegundulika kufanya makosa!! Alafu hakufuzwa bali alijiuzulu yeye mwenyeye kama sehemu ya kuwajibika. Hata angekuwa msomi wa kwanza duniani lazima angefuata utawala wa KISHERIA kama alivyo sasa.
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Anakubalika,so what??Kuna mtu anakubalika na nchi za magharibi kama JK??n nn anachofanya??
 
Zimamoto

Alhuda ni gazeti: majukwaa yametajwa katika thread: hajakuharibia kitu we pimbi: hajapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa, ni juhudi zake binafsi, acha kujidharau mwafrika wewe.
Wewe usipende kutukana wenzio jibu hoja. Wewe mwenyewe ulete hoja halafu uanze kutukana. Hao wanaomtukuza ndiyo waliomtumia ili atuibie ili wao wanufaike. Mzungu diku zote anajali masilahi na si taaluma. Hao wamarekani unaowasifu wanevamia mataifa mangapi na kuua wananchi ovyo kwa ajili ya maslahi yao ?!! kama hujui kusoma hata vyombo vya habari husikilizi !!?
 
Last edited by a moderator:
Muhongo pamoja na usomi wake si mstaarabu ana lugha ya dharau majivuno utadhani hajasoma. Kwenye siasa ni utendaji sio misifa
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

hatukatai. tatizo lake ni kukubali kwenda kuchanganyika na serikali ya wezi. alipokubali ule uteuzi wa dezo wa JK ndipo wengi tulipogundua huyu jamaa ni wale wale tu miongoni mwa maprofesa vilaza.
 
Rais alijua kabisa atasimamia vizuri rasilimali za nchi akiwa Waziri wa Nishati na Madini ndio maana wezi walichukia! Wewe Mburula kweli . Hilo nalo sawali? Nimekuonea tu huruma kukujibu!

Badala yake amesimamia maslahi ya Wanaescrow!
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Prof Muhongo Kwishnee kwenye siasa za bongo, aende uku wanapomtambua
 
inawezekana wanamtaambua kama kuwadi
 
Prof Muhongo Kwishnee kwenye siasa za bongo, aende uku wanapomtambua

jipeni moyo wewe kilaza, subiria ujio wake! wewe na wavimba macho wenzako wote lazima mhamie Sudan
 
Tena unaambiwa deni la Tanesco limepanda mara tatu zaidi tokea aingie madarakani. Huyo ndio wa kujivunia?

lazima liongezeke kw sababu wanaongeza uwekezaji, hata wewe ukitaka kuendelea kopa kopa baba, kuongezeka kwa deni ni kuongeza uwekezaji na hii ina maana wanaaminika huko wanakokopa, we mwenyewe mbona kila siku wakopa masalo hapo kwa mama ubaya, kwa nini tanesco wasikope.
 
Sikubaliani nawe MTK. Najua wapo walio usingizini bado, wanaomwabudu fisadi Mengi kama Mungu-mtu wao. Hao ndio wanamwogopa Muhongo na wanahofu kubwa akirejea ulingoni. Kwa sababu hiyo wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanamchafua na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa hafai. Watanzania wengi tunamwmini Muhongo na tunamhitaji saaana. So, mleta mada Kudos!!

OK Bhupe; Who am I to burst your bubble?! lakini pole zenu ninyi "watanzania wengi tunamwamini na tunamhitaji saaana"; kwa sababu kwa bahati yenu mbaya profesa Muongo biashara yake ndio hivyo imekwisha; sina hakika Mengi ameshiriki kwa kiasi gani katika hilo; kama sio misconception kwa sababu tu Mengi had the Vison and strength of character kuhoji ushiriki wa Wazawa katika sekta mpya ya Gesi!!!

Muohongo belongs to the classrooms, pitholes and sorting rooms; not in a public office; poleni sana
 
hatukatai. tatizo lake ni kukubali kwenda kuchanganyika na serikali ya wezi. alipokubali ule uteuzi wa dezo wa JK ndipo wengi tulipogundua huyu jamaa ni wale wale tu miongoni mwa maprofesa vilaza.

alikubali kwa sababu alitaka aitumikie nchi yake! unataka nani aongoze nchi hii vilaza? kafanya mengi mazuri ndani ya muda ambayo hayakufanyika miaka kenda rudi, so acha kuongea ----- kama huna point funga domo lako
 
So he's dead like you eh??? You are already dead my dear! Yani wewe ndio huna chembe kabisa za akili. Tena nitamwambia baba yako akudai ada yake aliyokusomeshea. Umempotezea kabisa rasilimali fedha zake!

Big up; Mr millipede!!; you are not in my league; Bs
 
Sasa alikubali nini kutumika katika mambo ya kisiasa ambayo hajui hili wala lile!
In fact alikuwa kama samaki anyeogelea nchi kavu!!!

alikubali kutumikia sekta za nishati na madini sasa ulitaka awe waziri bila kuteuliwa kuwa mbunge? si katiba yenu inaelekeza hivyo! ila jiandae kumpokea kama kiongozi wako wa ngazi ya juu kabisa, oktobaaaa hiyooooooooooooooooo!
 
Back
Top Bottom