Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

bora aende hukohuko kule hakuna nafasi ya ufisadi maana wenzetu wanajitambua, hao wasomi wakija hapa wanweka taaluma zao pembeni na kuingia kwa kasi katika wizi, ufisadi n.k. Rejea balali, tibaijuka na huyu muongo.

weeeeeeeeeeeeeeeeeee aende wapi atabaki hapahapa kwenye nchi yake halali kabisa, fisadi ni wewe, muhongo ni mzalendo na sisi wananchi tunalitambua, tutamrudisha tena
 
weeeeeeeeeeeeeeeeeee aende wapi atabaki hapahapa kwenye nchi yake halali kabisa, fisadi ni wewe, muhongo ni mzalendo na sisi wananchi tunalitambua, tutamrudisha tena

Hapa nasikia harufu ya mtu aliyevimbiwa kwa ulafi wa rushwa
 
cha ajabu nini hapo??

mbona taasisi ya urais tanzania na Ikulu kwa ujumla inamtambua Seth ambaye mataifa kama Kenya na Malaysia wanamjua ni tapeli wa kimataifa??
 
hahahahha jipe moyo ila usijali utaalikwa wakati akiapishwa hapo novemba! Saiv jitanue tanue kidogo mana mlikuwa hampumui

Akiapishwa kwenye nini? Kwa ninanvyofahamu Uchaguzi wa Serikaliza za mitaa ni mpaka miaka mitano hijayo, au ameamua kwenda kugombea MZ kwa yule mgombea aliyekufa kabla ya matokeo kutangazwa?
 
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu...yaani unajitoa ufahamu kiasi hiki wakati kuna watanzania wazalendo zaidi ya mil 45? ni hizo fedha za rushwa ndo zimekufanya hivyo?
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe kwa andiko lako hilo Kitaja?! Hilo andiko lina apply kwetu tu tunaomkubali Muhongo? Wewe pia utakuwa umelaaniwa kwa kumtegemea MENGI, maana unahangaika sana kumtetea. Kwani ukitupilia mbali hivyo viposho anavyokupa kwa kumchafua Muhongo bila kosa utapungukiwa nini? Mtegemee Mungu ktk maisha yako, achana na posho za fisadi Mengi.
 
Akiapishwa kwenye nini? Kwa ninanvyofahamu Uchaguzi wa Serikaliza za mitaa ni mpaka miaka mitano hijayo, au ameamua kwenda kugombea MZ kwa yule mgombea aliyekufa kabla ya matokeo kutangazwa?

Kwani huwa wanaapishwa kwenye nini? Mi nazungumzia Uchaguzi October we unaongea uchaguzi uliokwisha pita? Unawezaje kulinganisha sisimizi na Elephant?
 
Sasa mbona unajichanganya mwenyewe kwa andiko lako hilo Kitaja?! Hilo andiko lina apply kwetu tu tunaomkubali Muhongo? Wewe pia utakuwa umelaaniwa kwa kumtegemea MENGI, maana unahangaika sana kumtetea. Kwani ukitupilia mbali hivyo viposho anavyokupa kwa kumchafua Muhongo bila kosa utapungukiwa nini? Mtegemee Mungu ktk maisha yako, achana na posho za fisadi Mengi.

Narudia tena inawezekana ni mgumu kuelewa...imeandikwa amelaaniwa amtegemeaye mwandamu. Hayo ya Mengi siyajui ninchojua fisadi muhongo katimuliwa wizarani kwa kushirikiana na wezi wenzako kutuibia pesa zetu zilizokuwa Escrow account. k
 
Akiapishwa kwenye nini? Kwa ninanvyofahamu Uchaguzi wa Serikaliza za mitaa ni mpaka miaka mitano hijayo, au ameamua kwenda kugombea MZ kwa yule mgombea aliyekufa kabla ya matokeo kutangazwa?

Kwa bahati nzuri watu wa type yako historia inaonesha huwa hawapigi kura. Maneno meeeeengi, maandamano, vurugu na kulalamika ndiyo kazi yenu. Sisi wapiga kura tutampigia kura za ndiyo na tutakualika siku anaapishwa ujionee kwa macho.
 
Hapa nasikia harufu ya mtu aliyevimbiwa kwa ulafi wa rushwa

kwa namna mlivyozoea kuiba vitalu vya madini na sasa gesi basi muda wote mnawaza kuwadhibiti wanaotulindia vitalu vyetu kama Muhongo. Ubongo wako umejaa ujinga wa kutojitambua!
 
Kwa bahati nzuri watu wa type yako historia inaonesha huwa hawapigi kura. Maneno meeeeengi, maandamano, vurugu na kulalamika ndiyo kazi yenu. Sisi wapiga kura tutampigia kura za ndiyo na tutakualika siku anaapishwa ujionee kwa macho.

Hana tofauti na UKAWA akili zao zimekaa kulalamika na maandamano.
 
Narudia tena inawezekana ni mgumu kuelewa...imeandikwa amelaaniwa amtegemeaye mwandamu. Hayo ya Mengi siyajui ninchojua fisadi muhongo katimuliwa wizarani kwa kushirikiana na wezi wenzako kutuibia pesa zetu zilizokuwa Escrow account. k

Taratibu, acha kupaniki. Nani alitimuliwa? Muhongo alijiuzuru mwenyewe, hakutimuliwa. Kama huna information sahihi, usicomment, unajidhalilisha. Halafu pesa zako zipi? Kasome tena ripoti ya CAG uielewe ndo urudi.
 
Muhongo katajwa wapi kuhusika na Ufisadi? Mengi Tanzania nzima inamjua fisadi anayejinyenyekeza ambaye ndio unamsifia na kumuona mungu wako. Si bora umsifie babako..... Type!
 
kwa namna mlivyozoea kuiba vitalu vya madini na sasa gesi basi muda wote mnawaza kuwadhibiti wanaotulindia vitalu vyetu kama Muhongo. Ubongo wako umejaa ujinga wa kutojitambua!

Nashangaa mtu anapomtetea fisadi aliyeshindwa vita.ungemtetea kabla hajafungasha virago ningekuelewa. sasa hivi ni kama kilio cha samaki hakuna wakuja kukufuta machozi.poleni sana
 
Taratibu, acha kupaniki. Nani alitimuliwa? Muhongo alijiuzuru mwenyewe, hakutimuliwa. Kama huna information sahihi, usicomment, unajidhalilisha. Halafu pesa zako zipi? Kasome tena ripoti ya CAG uielewe ndo urudi.

Matasema yote mwaka huu...kidomodomo chote kwisha hakuna cha muhongo wala le profeseri...hahahaha! hii ndo Tz dada.
 
Muhongo katajwa wapi kuhusika na Ufisadi? Mengi Tanzania nzima inamjua fisadi anayejinyenyekeza ambaye ndio unamsifia na kumuona mungu wako. Si bora umsifie babako..... Type!
naona muhongo kakupa dau zuri... mshaurini akajaribu kulima mihogo kule kwao nayo inalipa tu mbona?
 
Pengine mimi ni mbumbumbu kweli nielimishe kulikuwa na gawio gani la umma ukiondoa kodi ambayo inapaswa kulipwa TRA?
In a nutshell
Aliyeanzisha kadhia hii bw. Rugemalila baada ya kuona wabia wenzake kwenye biashara wanamfanyia mambo hovyo akaenda mahakamani na kutaka kampuni yao ifilisiwe na kila mtu achukue chake. kesi hii imekwenda kwa muda mrefu sana lakini katika kipindi chote hiki iptl ilikuwa inazalisha umeme na tanesco wanalipia huduma hiyo.
Ila kwa vile kuna suala la mgogoro mahakamani ile pesa inayotoka tanesco iliwekwa kwenye akaounti hiyo hadi kadhia ya mahakamani itakapofika tamati.
Na wabia wa iptl walipo elewana wakataka kuchukua pesa zao. Bw. Rugemalila baada ya kupata hela yake yeye alilipa kodi hivyo tatizo la hapa ni wale wengine waliopewa pesa wakati wakiwa watumishi wa umma na vilevile hao wengine walipaswa kulipia zawadi hiyo kodi pia. kingine ni kipi????
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

shut up , hatuna shida na maprofessor ,tunao wengi wasomi ,Rais wetu pia pofessor wa Kichina
 
alikubali kwa sababu alitaka aitumikie nchi yake! unataka nani aongoze nchi hii vilaza? kafanya mengi mazuri ndani ya muda ambayo hayakufanyika miaka kenda rudi, so acha kuongea ----- kama huna point funga domo lako

hivi, umesoma nilichokiandikika wewe kiazi? kama alifanya "mengi mazuri" kwa nini amepigwa chini sasa?

Muhongo ni kilaza kwa kushindwa kutambua in the first place kuwa anateuliwa na majizi na kwamba anakwenda kufanya kazi na hiyo mijizi. period.

wenziwe wenye akili kama prof Geoffrey Mmari waliwahi kuwa approached lakini walikataa kufanya kazi ni mijizi! hizo ndizo akili kubwa, siyo vilaza kama huyu Muhongo...
 
lazima liongezeke kw sababu wanaongeza uwekezaji, hata wewe ukitaka kuendelea kopa kopa baba, kuongezeka kwa deni ni kuongeza uwekezaji na hii ina maana wanaaminika huko wanakokopa, we mwenyewe mbona kila siku wakopa masalo hapo kwa mama ubaya, kwa nini tanesco wasikope.

Kwa taarifa yako mimi sikopi. Hujaelewa maana ya kukopa wewe! Kama unakopa beyond what you expecting to gain maana yake ni nini basi una akili kama za Mulugo, wewe kapime tuu miamba na matope kazi ya fedha waachie wengine.
 
Back
Top Bottom