Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

alikubali kutumikia sekta za nishati na madini sasa ulitaka awe waziri bila kuteuliwa kuwa mbunge? si katiba yenu inaelekeza hivyo! ila jiandae kumpokea kama kiongozi wako wa ngazi ya juu kabisa, oktobaaaa hiyooooooooooooooooo!
Tayarisha nchi ambayo si Tanzania akawe rais huko!!
 
Muhongo pamoja na usomi wake si mstaarabu ana lugha ya dharau majivuno utadhani hajasoma. Kwenye siasa ni utendaji sio misifa

lilaumu kabila lake! hata hivyo dharau zake hazina madhara yoyote ila kwa wale wanaotaka kula kwa shortcut
 
Sasa mbona wasomi wengine wanapigwa na kudharirishwa bila makosa, wafunguliwa kesi zisizo na misingi yoyote. Wakati taasisi kubwa duniani zinawatambua kwa usomi wao? Sembuse huyo aliiyegundulika kufanya makosa!! Alafu hakufuzwa bali alijiuzulu yeye mwenyeye kama sehemu ya kuwajibika. Hata angekuwa msomi wa kwanza duniani lazima angefuata utawala wa KISHERIA kama alivyo sasa.

siasa majitaka ndo unazoziabudu lala mbele wewe!
 
hilo ndilo mlilolitengeneza na kulikuwadia wewe na madalali wenzako

Kwahiyo unajiaminisha kuwa huyo Fisadi Msomi hajahusika na Sakata la Escrow??

Kwahiyo mchakato wa kutoa pesa wakati unafanyika yeye alikuwa hajui?

Kama alijua alichukua hatua gani? Kama hakujua ni kwa nini hakulifahamu sakata ilihali yeye ni Waziri hapo wizarani??

Yaani mpaka pesa zinaibiwa yeye hajui na ni Waziri ha wizarani, basi hafai kushika madaraka maana ni uzembe mkumbwa alifanya hadi wenzake wakajichotea mabilioni ilihali yeye hajui!

Unasema ametengenezewa sasa kwa nini ajiuzulu kwa kitu ambacho hakipo just "kimetengenezwa" tu???
 
Kasome ripoti ya CAG kwanza, kisha rudi ujenge hoja zinazoeleweka.
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Bora aende hukohuko kule hakuna nafasi ya ufisadi maana wenzetu wanajitambua, hao wasomi wakija hapa wanweka taaluma zao pembeni na kuingia kwa kasi katika wizi, ufisadi n.k. rejea Balali, Tibaijuka na huyu muongo.
 
Kwahiyo unajiaminisha kuwa huyo Fisadi Msomi hajahusika na Sakata la Escrow??

Kwahiyo mchakato wa kutoa pesa wakati unafanyika yeye alikuwa hajui?

Kama alijua alichukua hatua gani? Kama hakujua ni kwa nini hakulifahamu sakata ilihali yeye ni Waziri hapo wizarani??

Yaani mpaka pesa zinaibiwa yeye hajui na ni Waziri ha wizarani, basi hafai kushika madaraka maana ni uzembe mkumbwa alifanya hadi wenzake wakajichotea mabilioni ilihali yeye hajui!

Unasema ametengenezewa sasa kwa nini ajiuzulu kwa kitu ambacho hakipo just "kimetengenezwa" tu???

kajiuzulu ili watu wavivu waendelee na kazi mana mlikuwa mkilitumia jina lake kama kigezo cha kuzoooooza siku nzima huku mkikwepa majukumu yenu ya msingi.

fisadi ni wewe unayedhani kuwa hakuna mtu anayeweza kuwatumikia watanzania bila kuiba kama wewe unavyoiba hapo kwenye kijiwe chako.

fedha umeshaambiwa amelipwa iptl baada ya kutolipwa pesa yake ya kuiuzia umeme Tanesco, ulitaka mpate umeme wa bure bila kulipa, acha tabia za kiinzi wewe.

wewe kichwa chako ni kama mfuko wa sandarusi, unasubiri kujazwa vitu tu bila wewe mwenyewe kujishughulisha na bado utajazwa sana taarifa za uwongo, jishughulishe wewe acha kujazwa upepo.

kama unajifanya una uchungu sana na hizo pesa pesa mbona hamjakomaa wazir wa fedha na gavana wa BoT wajiuzulu, na wao ndio walikuwa wasimamizi wakuu wa hiyo account.

KUBALI KUWA JAMAA ALIKUWA, AKIWABANA SANA MAFISADI NINYI WAGANGA VITALU
 
jipeni moyo wewe kilaza, subiria ujio wake! wewe na wavimba macho wenzako wote lazima mhamie Sudan

Muhongo kapigwa, and no second round, kama mlizoeza michezo yenye round zaidi ya moja mmeliwa. Ila msijali kazi za miamba ni nyingi kwa sasa
 
bora aende hukohuko kule hakuna nafasi ya ufisadi maana wenzetu wanajitambua, hao wasomi wakija hapa wanweka taaluma zao pembeni na kuingia kwa kasi katika wizi, ufisadi n.k. Rejea balali, tibaijuka na huyu muongo.

wwewe chunga mdomo wako" fisadi kakuibia nini! Tena usimfananishe muhongo na tibaijuka hao ni kama mbingu na ardhi
 
muhongo kapigwa, and no second round, kama mlizoeza michezo yenye round zaidi ya moja mmeliwa. Ila msijali kazi za miamba ni nyingi kwa sasa

hahahahha jipe moyo ila usijali utaalikwa wakati akiapishwa hapo novemba! Saiv jitanue tanue kidogo mana mlikuwa hampumui
 
Bora aende hukohuko kule hakuna nafasi ya ufisadi maana wenzetu wanajitambua, hao wasomi wakija hapa wanweka taaluma zao pembeni na kuingia kwa kasi katika wizi, ufisadi n.k. rejea Balali, Tibaijuka na huyu muongo.
Ifike mahala huu upuuzi ukomeshwe. Hatuwezi kuendelea kuwapoteza viongozi wazalendo na wenye weledi wa hali ya juu kutokana na chuki za mafisadi papa wachache wanaodhani wamehodhi nchi hii. Mabadiliko yanaanzia kwa Muhongo. Tutampa kura zetu za ndiyo atuletee maendeleo ya kweli tunayoyahitaji. Hakuna mwingine zaidi yake.
 
Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu...yaani unajitoa ufahamu kiasi hiki wakati kuna watanzania wazalendo zaidi ya mil 45? ni hizo fedha za rushwa ndo zimekufanya hivyo?
 
Muhongo kapigwa, and no second round, kama mlizoeza michezo yenye round zaidi ya moja mmeliwa. Ila msijali kazi za miamba ni nyingi kwa sasa
Bado; mtaweweseka sana. Kura za NDIYO atapata maana Watanzania tunamhitaji.
 
Back
Top Bottom