PPM
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 838
- 229
Kwa bahati nzuri watu wa type yako historia inaonesha huwa hawapigi kura. Maneno meeeeengi, maandamano, vurugu na kulalamika ndiyo kazi yenu. Sisi wapiga kura tutampigia kura za ndiyo na tutakualika siku anaapishwa ujionee kwa macho.
Project Muhongo is a good but a fail project. Piga au usipige kura project Muhongo is a fail project. Labda kama mnachagua kiongozi wa ukoo wenu