So, hao RAIA according to you ni Mengi peke yake? Kama Mengi ni mzalendo kama unavyodai, alishindwa nini kuviendeleza vitalu vya madini alivyopewa kabla kwa manufaa ya Taifa ukiwemo wewe? Kwa sifa hiyo hata mimi ningemwunga mkono kuwa apewe vitalu vya gesi. Anajilimbikizia tu mali kwa manufaa ya tumbo lake binafsi, eti MZAWA!! Hana uchungu na nchi wala watanzania kama anavyojinadi. Wewe tukana kadri uwezavyo lakini ukweli utabaki palepale, Mengi ni fisadi la kutupa na tumeling'amua hilo. Tunashukuru Muhongo kwa kututoa tongotongo. Nina amani sana sababu najua hata ktk uongozi mpya wa wizara, hapati kitu. In short, amekwama!!