Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 2,984
- 10,058
Science is built upon facts and research. Science needs logic and facts.
Kigezo kikuu kilichotumika ni mchango wa research bora zaidi duniani zilizofanywa na vyuo na taasisi za kisayansi kwenye natural science na health science.
Taasisi ya Kisayansi ya China (The Chinese Academy of Sciences-CAS). Taasisi kubwa zaidi ya kisayansi ulimwenguni imeipita chuo cha Harvard cha Marekani na kuwa ya kwanza kwa tafiti bora na mchango wa kisayansi katika natural science na health science.

China imetoa vyuo 7 bora kati ya 10
Vyuo bora vya Marekani kama Stanford na MIT vimetolewa kwenye 10 bora, nafasi zao zikichukukiwa na vya China. Wakati huohuo katika top 100 China ina vyuo 38 na Marekani vyuo 35.
Ukiangalia by discipline (a branch of knowledge, taught and researched as part of higher education):
Ukiangalia by discipline (a branch of knowledge, taught and researched as part of higher education):
Vyuo na taasisi za China zinaongoza 'discipline' 8 kati ya 14 muhimu ukilinganisha na Marekani na nchi za Ulaya.
Katika Physics kwenye 5 bora ya high quality research ni vyuo vya China. Na kwenye 10 bora ya Chemistry vyuo vyote bora ni vya China:
Physics
Chemistry
Kwa nini vyuo vya China vinafanikiwa sana?
1. China inatumia fedha za kutosha kugharamia scientific research na R&D
2. Kwa sasa wanasayansi wengi wa Kichina waliokuwa nje ya China wamekuwa wakirudi kwa kasi China. Kati ya mwaka 2000-2019 zaidi ya wanasayansi milioni 6 walirudi China kulipambania taifa lao.
3. China inazalisha wanasayansi wengi zaidi kuliko taifa lolote duniani
Jarida la The Economist la Uingereza liliandika:
China has become a scientific superpower.
Je, unafikiri nini kifanyike ili na sisi vyuo vyetu vifanye vizuri kwenye nyanja ya tafiti?
CREDIT: Nature Index 2024 Research Leaders: Chinese institutions dominate the top spots