Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Hakuna ubishi kwamba Profesa Muhongo anatufaa sana kwenye sayansi ya miamba, lakini siyo uwaziri. Ni makosa na matumizi mabaya ya ujuzi wao, kama wasomi waliobobea wanateuliwa kuwa wanasiasa! Nafasi ya uwaziri ilimfanya awe muongo, wakati kimsingi mwanasayansi kama yeye hawezi kushindwa kuelewa kuwa account ya escrow ilikuwa na pesa za uma!
 
Hii post yako naifananisha na baba anayedharau familia yake na kuihujumu halafu akitoka nje ya familia yake anapata sifa toka kwa watu baki. Ni hivi hakuna mwenye shida naye na hakuna haja ya kuja kutueleza hapa maana unatafuta tu watu wamkejeli na kuishia kutukana. Kama yeye ni bora huko nje hewala hapa kwetu aligeuka mtu wa majivuno na dharau na uwezo wake mkubwa tumeuona kwenye uwizi wa escrow huku akiongea uwongo wa dhahiri bungeni. Na kama sasa wazungu wameishia kutoa kazi bila kuangalia cv ya mtu alikotokea ni haki yao sisi kama taifa hatuna cha kupoteza. Halafu mwambieni hizo mbwembwe anazoleta za kuturingishia hakuna hata mtu mmoja anajali kwani sasa maisha yetu yanaendelea kama kawaida na hizo bei za umeme karibia zitashuka bila uwepo wake.
 
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat

mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs
 
Yani wewe hadi leo hujui tu tatizo sio Utaalamu wake bali ni wanasiasa wenye chuki na visasi? wafanyabiashara wezi na warafi na mafisadi ndio wamesababisha? kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua huyu Mzee hakuwa amekaa kianasiasa kama wanasiasa walio wengi. Mwanzo umeanza vizuri nashindwa kukuelewa kwanini umeshindwa kutegua kitendawili hiki! Na wewe changanya na akili zako. Nimeshakuona unashindwa sana katika hili!
 
ni vema msiwe mnatumia neno ulimwenguni, ulimwengu ni "universe" bora mtumie "duniani"
 
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat

mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs

So he's dead like you eh??? You are already dead my dear! Yani wewe ndio huna chembe kabisa za akili. Tena nitamwambia baba yako akudai ada yake aliyokusomeshea. Umempotezea kabisa rasilimali fedha zake!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hii post yako naifananisha na baba anayedharau familia yake na kuihujumu halafu akitoka nje ya familia yake anapata sifa toka kwa watu baki. Ni hivi hakuna mwenye shida naye na hakuna haja ya kuja kutueleza hapa maana unatafuta tu watu wamkejeli na kuishia kutukana. Kama yeye ni bora huko nje hewala hapa kwetu aligeuka mtu wa majivuno na dharau na uwezo wake mkubwa tumeuona kwenye uwizi wa escrow huku akiongea uwongo wa dhahiri bungeni. Na kama sasa wazungu wameishia kutoa kazi bila kuangalia cv ya mtu alikotokea ni haki yao sisi kama taifa hatuna cha kupoteza. Halafu mwambieni hizo mbwembwe anazoleta za kuturingishia hakuna hata mtu mmoja anajali kwani sasa maisha yetu yanaendelea kama kawaida na hizo bei za umeme karibia zitashuka bila uwepo wake.
Hivi mniambie kama siyo siasa chafu muhongo kosa lake ni lipi?
1. Lilipokuja ombi hili toka BOT alimuandikia Attorney General kutaka ushauri wa kisheria kuhusu suala hilo
2. Attorney General alipoleta mrejesho kuwa kulikuwa hakuna utata wowote wa kisheria kuhusu utoaji wa fedha hizo
3 Naye alimuandikia governor wa BOT kuwa serikali ilikuwa haina objection kutoa malipo hayo
Hebu tumieni mantiki makosa yake ni yapi?
kama ni hivyo mbona governor wa bot ambaye alirelease hizo pesa hajaguswa?
Ukweli ni kwamba sisi tuna mila za kutothamini na kuvizodoa vya kwetu ambavyo vinapotambulika ulimwenguni sisi tunabaki na alama ya kuuliz tu na muhongo siye wa kwanza kuna wataalamu wengi tu ambao tumewafanyia visa wakaongdoka na huko walipokwenda walifanikiwa kuiletea nchi yetu sifa.
 
Ni wewe tu ndio huna shida nae, walio wengi bado tunamhitaji. Usitujumuishe kwenye ujinga wako!
 
Abunwasi una akili sana wewe! Anayepinga ajibu maswali hayo! tatizo hata ripoti ya CAG hawajaisoma acha ile cover ya ripoti unadhani watajengaje hoja zaidi ya matusi?:yo:
 
Kuna mtu aliwahi kumdharau profesa Muhongo kwamba sio msomi? Na kilicho mwondoa wizara ya Nishati na madini sio under performance bali uzembe uliosababisha watu wapige zile pesa za Escrow pamoja na uuzwaji wa hisa from mmiliki wa mwanzo wa IPTL to PAP bila serikali kupata chake, tusibadiri topic, hakuna aliyesema Muhongo sio msomi.
 
Tafakari kauli hii ya basha lako kwa umakini... " Watanzania wanamitaji ya kukamua juicy tu" ..."Hawana Uwezo wa kumiliki utajiri wa Gas"... Then Uliza OPHIR GAS walitengeneza kiasi gani na Waliwekeza kiasi GANI? ... Kwanini Maliasili zetu hazitumiwi kama Collateral? ... Najua kuwa wewe ni akili ndogo kama huyo jamaa yako alierudia darasa la saba mara 7 ... Tambua kuwa Intelligensia ya mtu hujengwa na kuonekana Udogoni...

Hapo ndipo tatizo lilipo. Fisadi Mengi hajazoea kuambiwa UKWELI. Hajazoea kukutana na KISIKI. Yeye alishazoea KUABUDIWA TU kama wewe na wezako wengine mnavyofanya. Sasa alipokutana na Mzalendo asiyetetereka, mwenye kusema ukweli daima bila kupindisha wala kubagua, ndo hapo chuki dhidi ya Prof Muhongo zilipoibuka waziwazi. Yeye na timu yake, kwa kutumia vyombo vyake vya habari akaanzisha vita na Muhongo. Alitarajia ataabudiwa na Muhongo kama alivyozoea. Watanzania tulisikia, tena mchana kweupe akikaribishwa na Muhongo aende TPDC kama anavyo vigezo ili apewe kitalu lakini akaingia mitini kwa kujua hana mtaji wa kutosha. Bdala yake akaanza kupotosha umma kwa makusudi kuwa watanzania wametukanwa na kudhalilishwa kuwa hawana uwezo wa kuwekeza. Kama kawaida yake, ili ku-win sympathy ya watu, akawajumuisha watanzania wote ili wamuunge mkono. Hii ni 'fallacy of appeal to pity'. Kwa bahati nzuri, Watanzania wana akili na uelewa, tunaelewa kilicho nyuma ya pazia na kamwe team Mengi haitakaa itu-win sisi wapenda maendeleo. Hapo mmeshindwa, poleni.
 
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat

mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs

nani alisema umekwisha wakati Takukuru bado wanaendelea na upepelezi!
 
Bhupe hawa wanadanganyika na ile michango yake ya wenye ulemavu basi wanamwona mzawaaaaaa! Kumbe sumu kama Nyoka Cobra yani hutibiwi popote! kama Misaada hata Bakressa anatoa!
 
Kuna mtu aliwahi kumdharau profesa Muhongo kwamba sio msomi? Na kilicho mwondoa wizara ya Nishati na madini sio under performance bali uzembe uliosababisha watu wapige zile pesa za Escrow pamoja na uuzwaji wa hisa from mmiliki wa mwanzo wa IPTL to PAP bila serikali kupata chake, tusibadiri topic, hakuna aliyesema Muhongo sio msomi.

Nioneshe kutoka cha kitabu cha CAG ukurasa ambao wamesema alifanya Uzembe! Wasomi wana refer CAC'G report na sio Wanasiasa ripoti- PAC.
 
Hivi mniambie kama siyo siasa chafu muhongo kosa lake ni lipi?
1. Lilipokuja ombi hili toka BOT alimuandikia Attorney General kutaka ushauri wa kisheria kuhusu suala hilo
2. Attorney General alipoleta mrejesho kuwa kulikuwa hakuna utata wowote wa kisheria kuhusu utoaji wa fedha hizo
3 Naye alimuandikia governor wa BOT kuwa serikali ilikuwa haina objection kutoa malipo hayo
Hebu tumieni mantiki makosa yake ni yapi?
kama ni hivyo mbona governor wa bot ambaye alirelease hizo pesa hajaguswa?
Ukweli ni kwamba sisi tuna mila za kutothamini na kuvizodoa vya kwetu ambavyo vinapotambulika ulimwenguni sisi tunabaki na alama ya kuuliz tu na muhongo siye wa kwanza kuna wataalamu wengi tu ambao tumewafanyia visa wakaongdoka na huko walipokwenda walifanikiwa kuiletea nchi yetu sifa.

Nakubaliana kabisa na wewe hiki ninachokizungumza mimi ni siasa chafu. Yeye kama mtaalamu baada ya kuona hana kosa bali mfumo unaomzunguka nini kilimfanya ashindwe kujiuzulu mapema mpaka ikafikia ilipofikia. Mimi hakuna mahali popote nimemtaja governor wa benki kuu kama mtu msafi kwani mada hapa ni huyo Muhongo. Yeye Muhongo na system nzima walikuwa ni wezi, kwa hiyo kwa akili yako unataka kuniambia yeye na usomi wake hakujua kwenye ile pesa kulikuwa na gawio la umma ndani yake? Na yeye bungeni alikubali kuna hela ya umma? Ukitetea angalia unatetea nini na sio kujificha kwenye kichaka cha siasa chafu.

Halafu nikusaidie kitu na ukikutana naye leo mwambie kiburi si maungwana hasa kama ameamua kujichanganya na watu wachafu na yeye akaamua kupiga deal. Sisi kama umma hatumtaki akawafanyie hayo mazuri yake wazungu acha sisi tuteseke. Hebu nikuulize yeye alipokuwa hapa kwenye hiyo wizara umeme ulikuwa bei chini ama aliwahi kutulipia kwa kutumia hiyo taaluma yake zaidi ya kuleta majivuno ni kiburi cha kipuuzi? Hebu taja mkataba wowote kwenye hiyo wizara ambapo aliwahi kuuweka hadharani tujue una maslahi gani kwa umma, hapo hapo bungeni kamati ya PAC ilisema toka ameingia hapo wizarani Tanesco imepata hasara mara tatu mpaka nne zaidi kabla ya yeye kuingia. Ukibisha tafuta hansard za bunge na hakuwahi kukanusha zaidi ya kutoa vitisho ambavyo havionyeshi usomi bali ulimbukeni kwamba akijiuzulu nchi itatetemeka. Matokeo yake nyinyi mmbeki kuja na vijipost vya kumtetea bila soni.
 
unapoteza muda wako buuure kumrudisha Muongo jamvini hapa ajadiliwe; kumbuka "Dead people dont count na Muongo is dead meat as far as many of us are concerned!; hatuna haja naye hapa Tz; kama Muongo angekuwa na chembe ya akili iliyochanganyika na hekima na busara; na mtu anayejitambua alitakiwa kubaki huko huko kwenye taaluma yake ya mawe; miamba; vumbi, kokoto na mchanga na madarasani! hatuna haja ya mtu mwenye too much bookish knowledge minus human management skills; hatuna haja nae; Tanzania can manage without one stupid arrogant technocrat

mjadala kuhusu Muongo ulikwisha; hao wanaomuhitaji na wamchukue. Bs

Sikubaliani nawe MTK. Najua wapo walio usingizini bado, wanaomwabudu fisadi Mengi kama Mungu-mtu wao. Hao ndio wanamwogopa Muhongo na wanahofu kubwa akirejea ulingoni. Kwa sababu hiyo wanapambana usiku na mchana kuhakikisha wanamchafua na kujaribu kuwaaminisha watu kuwa hafai. Watanzania wengi tunamwmini Muhongo na tunamhitaji saaana. So, mleta mada Kudos!!
 
Ni wewe tu ndio huna shida nae, walio wengi bado tunamhitaji. Usitujumuishe kwenye ujinga wako!

Ni kweli usemalo ndugu yangu, sasa wewe si unaishi naye lakini sisi kama taifa tumeshampiga chini. Wewe kwa kuwa unaishi huko ulaya hongereni kwani mmeshampa kazi, lakini mnakuja kujisifia kwetu sisi watanzania.
 
Wewe unaishi nchi gani? Sisi huku Bongo tumemshuhudia Muhongo akionyesha Kiburi cha Wazi na upendeleo wa hali ya juu katika ugawaji wa vitalu vya Gesi wakati nchi haina hata sera ya Gesi!!! Uongo wake uliendelea hadi ndani ya Bunge ambapo alionywa na kamati ya Maadili kuwa hatakiwi kusema uongo!! ... Pamoja na kuvumiliwa kote aliendelea kuongea uongo na kuwapakazia watanzania hawana mitaji as if Hiyo gas siyo Mtaji tosha!!! Siku zote alikuwa analamba visigineo vya wawekezaji wazungu na kuwadharau Watanzania... Mengi alimwambia Ukweli kuwa Utajiri wa nchi yoyote Ile Duniani hushikwa na Raia wa nchi husika na wakati Mwingine raia hao huingia ubia na wafanyabiashara wakubwa wa nje!!!! Yeye alikuwa anang'ang'ania TPDC akijua kuwa hakunakuwa na Ownership then waendelee kukwapua kama walivyoingia mkataba wa Songas ambapo gharama zote hulipwa na TPDC ... Ukimsakama Mengi wakati Watanzania wote walikuwa wanajua kuwa Sethi wa ESCROW aliletwa na huyo Muhongo utakuwa unaupungufu wa akili ...
Hapo ndipo tatizo lilipo. Fisadi Mengi hajazoea kuambiwa UKWELI. Hajazoea kukutana na KISIKI. Yeye alishazoea KUABUDIWA TU kama wewe na wezako wengine mnavyofanya. Sasa alipokutana na Mzalendo asiyetetereka, mwenye kusema ukweli daima bila kupindisha wala kubagua, ndo hapo chuki dhidi ya Prof Muhongo zilipoibuka waziwazi. Yeye na timu yake, kwa kutumia vyombo vyake vya habari akaanzisha vita na Muhongo. Alitarajia ataabudiwa na Muhongo kama alivyozoea. Watanzania tulisikia, tena mchana kweupe akikaribishwa na Muhongo aende TPDC kama anavyo vigezo ili apewe kitalu lakini akaingia mitini kwa kujua hana mtaji wa kutosha. Bdala yake akaanza kupotosha umma kwa makusudi kuwa watanzania wametukanwa na kudhalilishwa kuwa hawana uwezo wa kuwekeza. Kama kawaida yake, ili ku-win sympathy ya watu, akawajumuisha watanzania wote ili wamuunge mkono. Hii ni 'fallacy of appeal to pity'. Kwa bahati nzuri, Watanzania wana akili na uelewa, tunaelewa kilicho nyuma ya pazia na kamwe team Mengi haitakaa itu-win sisi wapenda maendeleo. Hapo mmeshindwa, poleni.
 
chakutaka

  1. AL-HUDA ni nini?
  2. Ni katika jukwaa lipi ametambulika?
  3. Hata wakimtambua, kama katuharibia tumkumbatie kwa kuwa wamemtambua?
  4. Je wako kwa maslahi yetu au yao?
Tujitambue na maslahi yetu kuliko kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa.

Hata sisi tunajua Muhongo msomi! akiwa kazi anajanya vizuri na hayo mashirika. lkn katuibia au majizi yamemwingiza mkenge tufanyeje? tumwache sababu wazungu wanamtambua, jadili issue sio mtu. kwa iyo mtu akitwibia au kutuingizia hasara tumwache kozi ana elimu.
 
Last edited by a moderator:
Hata sisi tunajua Muhongo msomi! akiwa kazi anajanya vizuri na hayo mashirika. lkn katuibia au majizi yamemwingiza mkenge tufanyeje? tumwache sababu wazungu wanamtambua, jadili issue sio mtu. kwa iyo mtu akitwibia au kutuingizia hasara tumwache kozi ana elimu.

Wewe rudi ukajipumzishe kwanza ukirudi utauliza tena swali lako. Halieleweki!
 
Back
Top Bottom