Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Taasisi za Marekani, zamtambua Muhongo

Wapigaji ninyi ndio mlimfanya aonekane hivyo!

I am sorry, katika mpira beki wa timu moja akiokoa mpira halafu ukampiga beki mwenzie na kuingia golini mwao kwa bahati mbaya linakuwa goli halali tu. " I insist he was at a wrong place at a wrong time." Mara nyingi ubaya huvuma kuliko uzuri.
 
mkuu achana na muhongo,kapagawa baada ya kupigwa chini uwaziri na nguvu ya umma!

yaan haka kajamaa leo kamevurugwa.kanaongea ugoro mwanzo mwisho.yaan katakua na kopo la komoni au gongo kujitoa ufahamu na kwa ajili ya kujibizana na yeyote anaekwenda against kauli zake.alijua atapata like nyingiii na matokeo yake watu wanamshangangaa .
 
Kama zilivyo za kwako . Maana wewe muda wote mlevi. Hujawahi kuongea kauli inayopimika tangu nianze kukufahamu. Kauli zako zote Mataputapu!

we kama nakukumbuka.kama sio mshika mkoba wa muhungo basi mpambe wake wa ndio mzee.shame on u.ulimshauri sana vibaya jamaa.sasa kapigwa chini umebaki huamini kama na wew kitumbua chako kimeingia mchanga.!!ndio maana umekuja kwa kasi sana ati anakuja watu watamuogopa wakimbie.!!wezi hatuwakiambiagi tunaponda mawe vichwa.
 
Nyabhingi, kwanini unawadhalilisha watanzania kwamba si wafuatiliaji wa mambo?! Ni lini Muhongo alipigwa chini uwaziri? Sote tulishuhudia Prof akijiuzulu mwenyewe wadhifa wake. Mwenzetu unatoa wapi taarifa hizo za uongo?

muhungo aliamua kujiuzuri mwenyew kukwepa aibu .na alishaamlishwa afanye ivyo.kiporo chake kilikua hakipashiki.we ushangai siku anajiuzuru mchana anateuliwa waziri mwingine!!? angekomaa wangemtoa na ffu
 
sasa mbona amefeli uadilifu. kwa weledi wake asingeshindwa kuona singa na hao waliomleta kwake ni wezi wakubwa.
 
chakutaka (Join date: 6th February, 2015), rallphryder (Join date: 25th January, 2015) na Bhupe (Join date: 11th February, 2015)...yawezekana wote si wageni hapa JF ila naomba niwafahamishe kuwa wengine Prof. Muhongo tulikuwa na bahati ya kumfahamu toka akiwa shule ya msingi. Kwa majibu ya fedhuli mnayoyatoa hapa mnapokabiliwa na hoja pingamizi, ni vigumu kuwatofautisha na tabia ya Prof. Muhongo kwani zinashabahiana.

Katikati ya mwezi wa November, 2014 Prof. Muhongo alinukuliwa akitoa kauli hii, "sitishwi na sitajiuzulu kwa kashfa ya ESCROW." Wengine wetu tuna kumbukumbu ya hii taarifa, nanukuu;
Katika kikao cha ndani ya CCM, Waziri wa Nishati Prof. Sospeter Muhongo amesema bayana kwamba hatishwi na wababaishaji na kamwe hawezi kujiuzulu kutokana na chuki za mafisadi wanaopigania vitalu vya gesi na kama atalazimika kujiuzulu siyo bunge litayumba bali ardhi ya Tanzania itatikisika.

Miezi miwili na nusu baadaye January 24, 2015, Waziri huyo mtaalamu wa miamba, alilazimika kujiuzulu kufuatia shinikizo la muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya bunge lililopita, lililoiagiza Serikali kuchukua hatua dhidi ya viongozi wote na watendaji waliohusika na kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow akiwemo Prof. Sospeter Muhongo.

chakutaka (Join date: 6th February, 2015), rallphryder (Join date: 25th January, 2015) na Bhupe (Join date: 11th February, 2015)...leo ni tarehe 12 Fenruary 2015 na wengi wetu bado tukisubiri ahadi ya Prof. Muhongo, ninyi mnatuletea muziki wa kitoto uliochuja na hauchezeki. Nawashauri muisome hili jamvi letu kwa makini ili angalau muijue na kuielewa...JF inatunza kumbukumbu!

Prof. Muhongo might have been a powerhouse from wherever Kikwete picked him but to majority of us he is but a blown out fuse and do you know what we do to a blown fuse? We throw it into its rightful place; the dust bin, trash can or whatever you wanna call it. Please spare us the trouble, money and pain...go back to where you came from; some of us are sick and tired of being reminded of this sick and rotten system.
 
Mi nilifikiri amepelipwa fadhila na mabwana zake aliowapa vitalu vya gesi, kumbe mpambe chakutaka ndio anamsugua na dodoki ili arejee sokoni. hata chenge pia amesoma kama Muhogo, fisadi ni fisadi tu hata akiwa ni professor wa tope bado ni fisadi.
 
Wewe mbulula ulitegemea nini? Mhongo alikuwa kuwadi wa Wazungu haohao, kwahiyo wewe kila wanachosema Wazungu unaamini kiko sahihi, nenda wakuoe si wanapenda ushoga
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)
Mimi ninadhani tunachanganya mambo. Hata hapa nchini hakuna mtu wala kikundi ambacho kimedai au kutilia shaka uwezo wa Prof Muhongo kwenye taaluma yake ya miamba. Prof aliporejea hapa nchini aidha kwa kuitwa au kwa ridhaa yake alikuja kutumika zaidi kisiasa wala sio kwenye taaluma yake, na kilichomuandama hakihusiani na taaluma yake bali ni utendaji kama mwana siasa na ndicho kilichomtoa kwenye uwaziri. Tatizo liko wapi?
 
Hilo swali kamuulize Shangazi yako , kizaa mjomba, kizaa mpwa wako maana limechanganyikana sana, HAKIKA sikuelewii

Wewe umedhihirisha upu.uzi wako hapa jamvini na sijui ni ugeni wako au uwezo mdogo wa fikra. Mada hii umeileta wewe na mdau kakuuliza tena kiungwana kabisa sasa hayo mambo ya shangazi yake mara mjomba yametoka wapi?
Ni watu wenye uwezo hafifu tuu ndio wanaoleta hoja JF kisha kushindwa kuisimamia na kuishia kutukana watu. Usitushushie heshima ya jukwaa letu. Ndio maana watu hapo juu wamekuita Muhungo kwani hata yeye alikuwa hana majibu ya maana ya akisemacho zaidi ya kejeli na zimemtoa kwa aibu.
 
bure kabisa huyu jamaa bora kama umeliona ilo mkuu
 
Hauko pekee yako... Miafrika ndivyo ilivyo! Huwa mnafurahia sana Wazungu, Wahindi, Waarabu wakija kwetu masikini na kuondoka Tajiri... Huwa mnachukia sana Mswahili Mwenzenu kufanikiwa! wakati mwingine mnakwenda hadi kwa waganga ili mwenzenu asipate maendeleo... Jiulize Mengi ametoa ajira kiasi gani na hao wazungu waliowawekea fedha Uswis wamezalisha ajira kiasi gani ... Elimika Zaidi kwa kumsoma Meredith kwenye kitabu chake cha The state of Africa...
So, hao RAIA according to you ni Mengi peke yake? Kama Mengi ni mzalendo kama unavyodai, alishindwa nini kuviendeleza vitalu vya madini alivyopewa kabla kwa manufaa ya Taifa ukiwemo wewe? Kwa sifa hiyo hata mimi ningemwunga mkono kuwa apewe vitalu vya gesi. Anajilimbikizia tu mali kwa manufaa ya tumbo lake binafsi, eti MZAWA!! Hana uchungu na nchi wala watanzania kama anavyojinadi. Wewe tukana kadri uwezavyo lakini ukweli utabaki palepale, Mengi ni fisadi la kutupa na tumeling'amua hilo. Tunashukuru Muhongo kwa kututoa tongotongo. Nina amani sana sababu najua hata ktk uongozi mpya wa wizara, hapati kitu. In short, amekwama!!
 
Tuondoleeni ujinga wenu! Tumeshamtimua dalali basiii!! Muhongo si Alfa na Omega!! Kaondoka Nyerere na Leo bado tunaishi, itakuwa huyu dalali?
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Mimi sikatai ni kweli ni mtaalam lakini utaalam wake haujalisaidia taifa kwa lolote. Unaposemea ni Geologist, sikatai lakini kazi ya Geologist ni kufanya utafiti kenye miamba. Hao wapo lukuki hawana ajira nchini wapo mitaani. Niambie alichogundua ktk ardhi ya Tanzania zaidi ya kusaini mikataba ya siri ya gesi na swahiba wake na kuruhusu watu kugawana pesa ambazo zilikuwa za Escrow. Mbaya zaidi alidai siyo za serikali hata swahiba wake hakuwa na msimamo hadi hapo alipombembeleza aachie ngazi na ndo habari yake imeisha. Nyuma kaacha sintofahamu huku wananchi tukihenya na umeme wa bei ghali.

Huyu mzee alitakiwa atutetee wananchi bei ya umeme ishuke baada ya kugundulika umeme tunaouziwa na IPTL ni bei ghali hivyo ilipaswa ifanyike recalculation kiasi kitakachoonekana kilikuwa kimetozwa kimakosa kirejeshwe tanesco kutoka ktk account ya escrow. Na bei ya umeme ipunguzwe wananchi tufaidike.

Wizara inahitaji waziri mwenye taaluma ktk wizara husika lakini zaidi uadilifu, uongozi, utawala na uchapa kazi. Cyo professor, unless ni wizara ya elimu. Maprofesor wengi siyo watendaji wawapo ktk idara. Mifano ipo mingi.....
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Hana tatizo kwenye profession yake (geologist)

Tatizo lake liko kwenye uwajibikaji wake kama waziri.

Akaendelee kupiga chaki na kuandika mapaper mbona atafika mbali sana, lakini asiingie kwenye siasa malumbano hayawezi atakufa mapema bure kwa pressure.
 
Wakati dunia na mataifa ya Magharibi ya Ulaya na Marekani, yakifanya jitihada kubwa kukusanya wasomi wenye vipaji toka sehemu mbalimbali duniani, kwa ajili ya tafiti na vumbuzi ili kijipeleka mbele zaidi kisayansi na kiteknolojia;

na wakati wasomi wanaosaka maslahi zaidi kimaisha wakiendelea kukimbilia Ulaya na Marekani (Brain drain), Wabunge masilahi Tanzania wanafanya jitihada za kubwa kufukuza na kuwakatisha tamaa wachache wenye nyoyo za Uzalendo.

Profesa Muhongo, ni mmoja wa wanasayansi mahiri katika sayansi ya madini (Geologist), anayetambuliwa na kuheshimika na mashirika mbalimbali ya kisayansi na tafiti ulimwenguni.

Miongoni mwa taasisi zinazoaminika kimataifa zinazomtambua na kumtumia Profesa Muhongo katika uwezo wake wa utendaji wa Kazi ni pamoja na FGSA la Marekani, FGS la London, Uingereza: Hon FCAGS la London, Uingereza; Hon FCGS la China, na Chuo cha kuendelea Sayansi ya dunia (FTWAS).

(Source AL-HUDA)

Huku Marekani kuna Wasomi wengi sana na wakati mwingine hata Ushoga umeanzia huko, hadi kuidhinishwa na Ikulu ya Marekani
 
Back
Top Bottom