Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

We Zito acha unafiki, ni kawaida yako kulalamika kwamba unaonewa.Ulituhumiwa kuanzisha act ukajigamba kwamba ni uongo,leo umekiri ww ni muasisi wake hata hili la Mengi hutoki.
 
Yeye ndiye anaetapatapa..mzimu wa chadema unamsumbua.
 
Dah yaani gazeti la Ruge wa Escrow limeandika hiyo stori tar 23 Machi halafu Zitto na watajwa wengine wakabaki kimya hadi Mengi alipo-react jana tar 17 Aprili ndio Zitto ameona achukue hatua sasa dhidi ya hilo gazeti?
 
Mpira umekwishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Kwa maelezo mafupi tu lakini yenye busara zaidi
 
Kwa uzito wa suala hili mbona Kurugenzi ya habari Ikulu imekaa kimya? tumeshuhudia mambo mengi sana mazito yanayoihusu Ikulu yanapowekwa wazi na yale yanayoonyesha kuna ukweli ndani yake Idara hii uchukua muda mrefu sana kujibu hoja hizo na kiuhalisia hata suala hili kuna ukweli ndani yake ndio maana Idara hii ina kigugumizi kujibu suala hili, kwa hiki alichokiandika Zitto ni kutaka kujiosha tu lakini ukweli huko wazi.
 
Kwanini zito ajibu baada ya mengi kusema?taarifa hiyo ina wiki tatu,alikuwa wapi kuikanusha mpaka mengi azungumze?anaogopa nini?anamuogopa mengi au kitu gani hasa?je alikuwa anasikilizia upepo? Na nyinyi wote humu jf,ni nani aliyetegemea zito atakubalu hizo shutuma?mnamshabikia na kumsifu kwakuwa ni waapuuzi msijua kitu,na huko kushtaki wala hatashitaki,gazeti kuandika jambo linalomuhusu hadi rais si bure wanauhakika na wanachokifanya.nani hamwogopi rais hata amhusishe na mambo ya kijinga?
Ndio hapo..jana kashinda humu JF kukusanya maoni,kwa kujibu kupitia ID zake ambazo zilikuwa zikijenga hisia kwamba anashambuliwa kwa kuibua vitu.Huyu ni psychopatic.Kwa ujumla ni humu JF ndipo kapata majibu,na hiyo ya kuamishia ktk uzalenda ndio kitu pekee.Kamkwepa Mengi km alivyowakwepa wengine,ila ID zake zinawatukana humnu na kusema alichosema
 
Kama kweli zitto alishaiona hii habari kwanini hakuchukua hatua?
Hili ndiloswala na msingi.
 
kama kuna watu walimpa zawadi Kubenea basi hawajui ata misingi ya uandishi ni nin, wafuatilie waliompa utagundua hawana sifa hizo.

Kama humjui Kubenea kaa kimya tu, Kubenea ni mjanja mjanja tu anayetunga chochote apate chakula.Chochote utakachosoma kwa Kubenea usikichukue kilivyo.Ni hadithi za kutunga ndio zimejaa kwa Kubenea.

Kama ulikuwa unasikia kuna waandishi makanjanja, mmoja wao Kubenea.

nani kamzidi Kubenea?
 
Kama kasingiziwa sheria si zipo aende mahakamani kinyume na hapo Zitto unalo.
 
Zitto tumeshakuchoka na unafiki wako ni heri ujitathmini mwenyewe kama kweli unafit kuendelea kuwepo katika jahazi la ukombozi wa wanyonge. Otherwise nakushauri katika hiyo ruti yako ya kuhadaa watu kwa mwavuli wa ACT-WAZALENDO ukifika Mto Kagera jizamishe uwe chakula cha mamba.
 
Back
Top Bottom