Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,347
- 5,553
Asante sana mkuu, ila habari ya ukaguzi iko nje ya kurasa za katiba yangu, nadhani hiyo makitu iko kwa mzee wa maternity ward Asprin, kwangu vgezo vikizingatiwa sina objection
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin
Last edited by a moderator: