Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,900
- 28,012
Mkuu ukikubali kuishi ujue ipo siku ni lazima utakufa tu!
Nimetoka jela muda si mrefu wapendwa, naenda kuoga then nakuja jamvini.Stay tuned..!!
Karibu tena Baba V, We really missed you aisee, vipi huko? uache kuwapa watu za uso na za pua usije ukarudi lupango.
Aisey Baba v !
Kwanza pole sana, pili mie siku nimekucretia Sredi, tena kwenye headin nikaweka na jina lako (ifanyie fall'up backdates utaipata) kumbe maskini ikakuta soon past ndiyo wenye mandate washa kutenda! Pole mkulu !
Inasemwa UKIMUONA MREFU ANAZAMA! MFUPI USIMUULIZIE KWANI ATAKUA KESHADEDI .
Hivi tunakuwaje na mwenyekiti wa kamati ambae kila siku yuko jela, ni mhalifu sugu mwenye sugu?
Ngoja niandae pettition, kaa chonjo!