TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

E bana ee, nimezipata za Ruttashobolwa na fanta passion lady, huyu mzungu hunbig hata aibu hana, aje tu asiwe.na hofu mwambie tumemsamehe kwa buku jero, Chimbuvu si alisema ataweza kulitafuna fupa (@madame b) lililowashinda fisi (@bishanga, Ruttashobolwa na Erickb52) !??? asikimbie mji, mwambieni abaki hapahapa...
BABA V we chochewa vijineno tu ili usipitishe ndoa yetu ifungwe,tutapigana humu ndani mjue,hao wachochezi tunawajua
 
Unajuaje..!!? ninavyomjua Asprin ni kuwa kabla mtu hajatinga chit chat huwa tayari keshakagua, pale ID inaposubiri verification yeye ndo huwa anamalizia pale

Sasa maombi ya harusi yatakapokujia, hakikisha umepata uthibitisho wa kukaguliwa kwa huyo passion lady. Otherwise.....!!!
 
Last edited by a moderator:
nimekuita ndio acha tabia ya kuwahisha habari kabla ya wakati(umbea)

ha ha ha ha! Hakunaga siri kwa familia ya CC mama, halafu mwambie mumeo akufundishe heshima, utapigwa faini siku ingine kwa kumuita mume mwenza wa mumeo eti mmbea.
 
ha ha ha ha! Hakunaga siri kwa familia ya CC mama, halafu mwambie mumeo akufundishe heshima, utapigwa faini siku ingine kwa kumuita mume mwenza wa mumeo eti mmbea.

heshima ninayo sana shemeji, lkn ww kuwahisha habari namna hiyo kwa baba v ndio nini?pia usimwambie my huby kama nimekuita mmbea atachukia bure!
 
heshima ninayo sana shemeji, lkn ww kuwahisha habari namna hiyo kwa baba v ndio nini?pia usimwambie my huby kama nimekuita mmbea atachukia bure!

Usihofu, hii itakua siri yetu shem. Si unajua ukimmiss mtu na kama una ya kumwambia unashikwa na kihoro? Ndo maana nilimuwahishia Baba V yale makhabari.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom