TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

Mostly ma'mtu ma'Hero na mapiganaji ndiyo huaga kihivi Bi'dada !
Refar Mz. Madiba na Roben Prison! Walter Sisulu , Ken Sarowiwa na wafananao na hao.
Kwa kuji sakrifais kwao impakti badae .

Bora umwambie bhana, kwani sie ujinga tunataka...!!??
 
Huyo huyo hakuna mwingie kwa ni vipi shem???
Mr Rocky come this way pulizi


Am here my darling achana na hao wasioitakia mema meli yetu ya wapendanao
Kila siku kuja na mpya
Na Baba V nimemuweka kikaangani maana na yeye anaongoza kwa uchakachuzi
Miss u darling
Mwambie aelewe naona anahangover ya rubisi

Naona ndo maana anakuja na maswali ya ajabu hapa Bishanga kaoge maji baridi
 
Last edited by a moderator:
Am here my darling achana na hao wasioitakia mema meli yetu ya wapendanao
Kila siku kuja na mpya
Na Baba V nimemuweka kikaangani maana na yeye anaongoza kwa uchakachuzi
Miss u darling


Naona ndo maana anakuja na maswali ya ajabu hapa Bishanga kaoge maji baridi

mzima Mr Rocky?
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye vigezo ndio ninapopasimamia! Nimemwambia huyo passion lady kwamba hawezi kuolewa bila taarifa za ukaguzi kuletwa kwako. Cha ajabu hata Ruttashobolwa nae anashindwa kutii sheria bila shuruti! Wameshindwa kumheshimu hata Asprin

nyie kazaneni na habari ya ukaguzi wakati leo kamati itakayosimamia shughuli nzima itatajwa,halafu we FILIPO mmbayaaaaaaaaa!
 
Wewe ni nani kwenye kamati ya sheria?

We ni nani kwenye kamati ya ukaguzi?

Pole sana Baba V na karibu tena jamvini! Tulikukosa sana hasa kwenye usimamizi wa sheria za ndoa. Hadi Ruttashobolwa anataka kumwoa passion lady kabla hajakaguliwa! Nimekomaa nao na najua kwavile umekuja, kitaeleweka tu!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mkuu, ila habari ya ukaguzi iko nje ya kurasa za katiba yangu, nadhani hiyo makitu iko kwa mzee wa maternity ward Asprin, kwangu vgezo vikizingatiwa sina objection

Baba V tafadhali naomba ufungishe ndoa yangu na passion lady maana vigezo vyote vimezingatiwa!
 
Last edited by a moderator:
CHILLI looooo,mwenzio katoka jela hata hajapumua ushaanza,huna tofauti na FILIPO!wanokoooo
 
Back
Top Bottom