TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

Karibu mkuu, tena karibu sana. Bora umekuja maana nina maumbea ya kukupa kama yafuatayo.
1. Loya Ruttashobolwa ameamua kabisa kutuachia mkewe wa ndoa Madame B na kukamatia kimwana mwengine
2. Mzungu Mndali aka Marry Mlokole anajitahidi kujisogeza mdo mdo hapa jukwaani tena, na amepata hata washkaji hasa huyu Donn anajidai ndie swahiba wake na noahism simwelewielewi.
3. Chimbuvu ametoweka kimya kimya na kuniachia muke yake, naomba mwongozo.
Mengine ntakwambia baadae ama Arushaone anaweza kumwagia hapa.................
!!!!!!
Welcome back Baba V.
 
Last edited by a moderator:
E bana ee, nimezipata za Ruttashobolwa na fanta passion lady, huyu mzungu hunbig hata aibu hana, aje tu asiwe.na hofu mwambie tumemsamehe kwa buku jero, Chimbuvu si alisema ataweza kulitafuna fupa (Madame B) lililowashinda fisi (Bishanga, Ruttashobolwa na Erickb52) !??? asikimbie mji, mwambieni abaki hapahapa...

Mimi huyu mzungu abadan simsamehi, la sivyo naye ajitukanishe, apigwe ban kama alivyonsababishia, akienda jela akarudi basi mi ntamsamehe.
Kuhusu ruttashoborwa mi nakusubiri utoe mwongozo, wewew tu ndio nakusubiria.
Kwa Chimbuvu napo wewe tu ndio nakutegemea mwenyekiti wangu.
 
mkuu adhabu aliyoipata yeye mwenyewe najua imemkolea, ipotezee tu
 
Last edited by a moderator:
Chilli taratibu mkuu wangu, ivi mechi ya Brazil v/s England saa ngapi?
Karibu mkuu, tena karibu sana. Bora umekuja maana nina maumbea ya kukupa kama yafuatayo.
1. Loya Ruttashobolwa ameamua kabisa kutuachia mkewe wa ndoa Madame B na kukamatia kimwana mwengine
2. Mzungu Mndali aka Marry Mlokole anajitahidi kujisogeza mdo mdo hapa jukwaani tena, na amepata hata washkaji hasa huyu Donn anajidai ndie swahiba wake na noahism simwelewielewi.
3. Chimbuvu ametoweka kimya kimya na kuniachia muke yake, naomba mwongozo.
Mengine ntakwambia baadae ama Arushaone anaweza kumwagia hapa.................
 
Last edited by a moderator:
Afu nakutafuta sana bwana mdogo, bahati yako mtu akiwa guest hawezi ku comment otherwise ningeunganishiwa ban nyingine juu kwa juu

Ah,mkuu,mbona nipo sana!
Afu nilimaind sana,nasikia ulikuja Mbeya afu hatukuonana!
Kwanini hututafuti wenyeji bhana?
 
Ah,mkuu,mbona nipo sana!
Afu nilimaind sana,nasikia ulikuja Mbeya afu hatukuonana!
Kwanini hututafuti wenyeji bhana?

Nimefika Mbeya na kufanya juu chini nionane na wana chit chat lakini wote mkanikimbia, Mwanyasi alinambia yuko safarini, nikaweza kuonana na Mzee wa fund pale Vwawa mbozi nikarudi zangu dar. Next time mkuu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom