Mimi sio mhalifu, cha kufanya wewe ni kum convince mumeo aache kunipigapiga ban, afu na hapa nimeongea na wewe sijui kama leo itaisha salama kwangu...
may be ndie mkombozi atakayejua thamani yangu
Pole sana Baba V na karibu tena jamvini! Tulikukosa sana hasa kwenye usimamizi wa sheria za ndoa. Hadi Ruttashobolwa anataka kumwoa passion lady kabla hajakaguliwa! Nimekomaa nao na najua kwavile umekuja, kitaeleweka tu!
Mzima wewe.Naomba tuition basi..Umejitahidi!!
mh! unasema nini tena? Labda labda sijaelewa
sema wewe mwenyekiti
acha kumchafulia mwenyekiti
Kama unajua kuongea na mimi ni hatari, why do you talk to me? Haujapigwa ban bila sababu. Na nikiona tu unatukana mtu nitabonya abyuzi batani fastaa!
manake karibia utazoea jela, mwisho upate na mke huko!
Cheo changu nakitumia kama dhamana ya MATAKWA YA WANACHIT CHAT WOTE, huna haja ya kutumia nguvu, wana CC have their trust in me, I never fail them