TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

TAARIFA: Wapendwa nimerudi..

Usihofu, hii itakua siri yetu shem. Si unajua ukimmiss mtu na kama una ya kumwambia unashikwa na kihoro? Ndo maana nilimuwahishia Baba V yale makhabari.

OK!poa shem wangu nimekuelewa,habari ya jumapili lkn,msalimie bi da shost!
 
Mmmmh...!!! afu mida yenyewe hiyo.. , isijeskika tu sauti 'Boxer yangu nilitupia wapi!???"

baba v jamani mi na asprin tunataka tuongee habari za ukaguzi tu,boxer tena?ongea taratibu bby wangu asije akaskia patachimbika hapa bure!
 
OK!poa shem wangu nimekuelewa,habari ya jumapili lkn,msalimie bi da shost!

Jumapili ipo mzuka. Huyu Bi. Shosti wako ametoka kaenda chachi halafu kaniachia katoto kasaidizi ka nyumbani ni balaa. Chuchu saa sita, kiuno kama nyigu, jicho kama kana degedege halafu kamevaa kanga moko kanajipitisha tu hapa sebuleni. Kameniambia, 'baba kama utahitaji chochote niambie tu' huku kameng'ata kidole.
Hata chai imeniisha hamu, bora tu niende mizunguko tu nikamsalimie mkongoman Chimbuvu, sitaki lawama.
 
Last edited by a moderator:
kweli huo uamuzi wa busara maana nimjuavyo shost ataua,jiendee kwa mkongo tu mkabadilishane mawazo coz ukibaki utamsababishia mkeo mada,na hicho kibeki tatu hakina adabu ,nitamwambia bi dada akitimulie mbali!
 
baba v jamani mi na asprin tunataka tuongee habari za ukaguzi tu,boxer tena?ongea taratibu bby wangu asije akaskia patachimbika hapa bure!

Baba V mwenyewe unaeongea nae washamchapa ban nyingine tena, kama bado hujafunga ndoa tu shauri yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom