Symbion Power acquires DOWANS Power plant

Duh huyu jamaa anaijua tanzania nzima wakati ndio kampuni bado mpya..hawa wanabadili tu majina ndio walewale tu.kipindi kimeisha.
 
lazima afanye uchunguzi asije kulalamikiwa na wenye ardhi... ndo umakini unaotakiwa..
 
Habari wana Jf, nimepitia michuzi blog na kukuta information ya Symbion Power inayosema watauza umeme Tanesco 1 Kwh kwa 4.99 USD, kwa mawazo yangu hii pesa ni nyingi, hebu fikiri hawa jamaa wana uwezo wa kutoa 126MW per day.... ambayo ni sawa na 126000KW sasa wakiwasha kwa masaa 24 itakwa ni 3024000Kwh ukizidisha kwa bei ya 1Kwh ambayo ni 4.99USD jawabu limenichanganya. sithubu hata kuliweka hapa naona kama nimechanganyikiwa....... hebu wataalamu wa umeme tusaidieni hapo......Watanzania wenzangu mbona kama tunaliwa.....

Kama nitakuwa nimekosea hesabu naomba unisahihishe....
 
3,024,000Kwh x $4.99=$ 15,089,760.00 au TZS 23,389,128,000.00 za leoleo....hawana Capacity charge hawa?
 
Hivi hii inawezekana?? kwa hiyo hiyo pesa watalipwa kwa kutoa huduma siku moja??...... acha tufe na umasikini wetu...wazime mitambo yao..
 
Kuanzia tarehe 12 December 2013 mimi ni Mwananchi halali wa Ubelgiji mtakoma na Symbion zenu na mtachakachuliwa hadi mwisho....

NIMECHOKA BWANA MALA LEO RICHMOND....WAKAONA HAIPO DUNIANI WAKAJA NA DOWANS....IKAONEKANA WAMECHAKACHUA NA SASA WAMEKUJA NA SYMBION... HADI WATUCHUNE NGOZI NDIO TUPATE AKILI
 
uamuzi wako nafikiri unaweza kuwa wa busara.......Huu ni wizi mkubwa sana...
 
Tutakoma ubishi safari hii. Kama inaawezekana ni bora tukae giza tu,umeme mdogo ulioppo upelekwe kwenye viwanda. Haya mambo ni yakipuuzi kabisa........
 
Hivi ni DOLLAR NNE au ni SENTI NNE? tuweni makini kidogo jamani.
 
Hivi ni hela ngapi somebody say it loudly.
Hivi dowans walikua na bei gani vile?
Dah..naona kama kuna ulazma wa kuhamia delaware sasa duh
 
Tutakoma ubishi safari hii. Kama inaawezekana ni bora tukae giza tu,umeme mdogo ulioppo upelekwe kwenye viwanda. Haya mambo ni yakipuuzi kabisa........

Mkuu nakubaliana na wewe 300%% acha tukae giza....kwanza tumeshalizoea... TSH. 23,389,128,000 per day.... hivi tuna serikali???
 
Hivi ni hela ngapi somebody say it loudly.
Hivi dowans walikua na bei gani vile?
Dah..naona kama kuna ulazma wa kuhamia delaware sasa duh
 
Hivi ni hela ngapi somebody say it loudly.
Hivi dowans walikua na bei gani vile?
Dah..naona kama kuna ulazma wa kuhamia delaware sasa duh
 
Hivi ninyi mlifikiria nini? Mafisadi lazima warudishe hela yao eti. Na faida juu yake. Yaliposhindikana ya Richmond yakaingia ya Dowans.
Tulipopiga kelele juu ya Dowans mara ghafla bin vuu wakaingia Symbion. Mimi nilidhani wataichukua ile mitambo waiuze Cyprus, kumbe wote walikuwa wanadowea soko la Tanesco, ili Dowans ilipwe na Richmond nayo ilipwe. Hebu jiulizeni Symbion waliingiaje Tanzania, kwa kupitia mchakato gani? Halafu si umeona CEO anakaribishwa ikulu yetu. Tuliliwa zamani.
 
Habari wana Jf, nimepitia michuzi blog na kukuta information ya Symbion Power inayosema watauza umeme Tanesco 1 Kwh kwa 4.99 USD, kwa mawazo yangu hii pesa ni nyingi, hebu fikiri hawa jamaa wana uwezo wa kutoa 126MW per day.... ambayo ni sawa na 126000KW sasa wakiwasha kwa masaa 24 itakwa ni 3024000Kwh ukizidisha kwa bei ya 1Kwh ambayo ni 4.99USD jawabu limenichanganya. sithubu hata kuliweka hapa naona kama nimechanganyikiwa....... hebu wataalamu wa umeme tusaidieni hapo......Watanzania wenzangu mbona kama tunaliwa.....

Kama nitakuwa nimekosea hesabu naomba unisahihishe....

... kazi kwelikweli:
1kW-h = 1000 W
1 Mw-h = 1000000 W = 1000kV-h
126 MW-h = 126x1000kV-h = 126000kV-h
Kama Capacity ya uzalishaji ni 126,000kW-h siyo lazima kwamba hiyo ndiyo power inayoingia kwenye TANESCO kila saa na kwa hiyo siyo sahihi kukokotoa gharama kama USD 126,000x4.99=628,740 USD kila li saa limoja au USD 15,089,760 kwa masaa 24 au half a billion dollars for 30 days
 
Tujiulize je Tanesco wamenunua umeme huo kwa kufuata sheria ya manunuzi?

Maana toka Symbion walivyonunua mitambo mpaka wanaingia mkataba ni siku chache sana, kinyume cha procumenet Act inavyotaka. Usije ikawa safari ya ikulu kwa mkuu wa kaya ilukuwa ni kuomba dispensation ya sheria.

Mimi naona kama Tanesco wanatuingiza tena shimoni, wakati ule kulikuwa na shinikizo, leo kuna shinikiza la nani?????? Kwa nini Tanesco hawasikii?????

Wanaharakati amkeni mzuie hii kitu, this is more than too much
 
Back
Top Bottom