Faiza wewe ndio uache pumba usiende kucopy kwenye generation na kusema hujui 45MW ni nini, hiyo ni tegeta gas plant na ndio pekee aliyoiongeza, wenzake Uganda na Kenya wameongeza over 700Mw upo hapo?
Yaani kwenye sector ya umeme hakuna lolote na ninasimamia hili ...usicopy vitu coz u know how to google and paste them here, anacholeta tena kwa grants ni isolated thermal stations not connected and extremely expensive to run
Kama tanzania ni rich by far labda huko kwako lakini si kwetu na data zipo , unajibu kwa kejeli tu,
Si mara ya kwanza mawaziri kujadiliwa ...na kama mtu amekosa na awajibishwe kwa makosa yake si kuachia ngazi tu !
Kwenye umeme hajafanya lolote na usitetee kwa kunicopia generation plan niliyoiupdate mwenyewe! Get real!
Kwenye mambo ya 'siri za serikali' hahahah lemme laugh aloud! Hahahahah! Eti ni siri! Ngoja aburuzwe mahakamani kwa kuchota kagoda kuwekeza kwenye uchaguzi
Ama kweli ukisifia uozo na mwenyewe unaoza,
Pumba hizo, Eti Tegeta pekee, soma hii:
https://www.jamiiforums.com/jamii-i...-megawati-300-yajitahidi-kuchukua-kiwira.html.
Ikiwa huijuwi Tanzania kama ni nchi tajiri, utakufa na umasikini wako, kwani huoni wala husikii. Unalazimisha nisi google na kukubandikia hapa pumba zako? unaona yamekusuta mchana kweupeee, peee. Mbona hujayajibu na kuyakataa? hizo 45MW si wewe ndio ulizozisema? na tukabwagia vielelezo, si vya "planned" bali current generation. Unalo?
Sasa ukitaka planned, ndio utachoka mwenyewe, kwa kifupi nimekubandikia hiyo hapo chini iliyosainiwa juzi juzi tu, kuna steigler yaja, kuna new gas plant Mtwara, kuna , kuna, kuna. Loo, wacha kuona gere na kumfanyia uhasid mwana wa mwenzio kwa kuwa tu hata nyerere hajayafanya anayoyafanya yeye, Mbona ya barabara za lami zilikuwa KM ngapi alipochukuwa nchi na sasa ziko ngapi huyasemi? mbona mashule yalikuwa mangapi sasa mangapi huyasemi? mbona vyuo vikuu vilikuwa vingapi na sasa vingapi huvisemi?
Au kisha wakatia mabomba ya kunyonya damu zetu huko Tanesco ndio sasa mna haha?
Kama anavyoburuzwa Mbowe kwa kutotii amri ya mahakama? haa utamuona hivi hivi mwana wa mwenzio!
Ikiwa mtu kama wewe ndio uliyoiweka hiyo "plan" si hasha kwa nini hatuna umeme.
Hamna zaidi ya chuki binafsi, hujaonesha hata moja la mapungufu ya Kikwete, ikiwa umeme ndio tatizo lako, yeye aliikuta hii nchi kizani 2005 au umesahau?
Nioze zaidi yako unaejitahidi kutafuta mapungufu na huyapati. Loooo!