Symbion Power acquires DOWANS Power plant

Symbion Power acquires DOWANS Power plant

Mkuu nakubaliana na wewe 300%% acha tukae giza....kwanza tumeshalizoea... TSH. 23,389,128,000 per day.... hivi tuna serikali???

hivi kwa nini serikali isikope pesa ambayo ingelipa kwa kwa miezi sita ikanunue mitambo yake ?

Ndugu zangu, bei hiyo ni most economical na capacity charge lazima iwepo kwani mtu huwezi kuwekeza mitambo ya bei gali bila assurance ya kupata soko lako..that's the meaning of capacity charge

Hiyo 4.9 ni cents not full $$

Mitambo inayoendeshwa kwa umeme wa mafuta mazito kama IPTL ndio 600shs quite expensive

Hiyo 4 cents inarudisha faida kubwa tu...

Kama hivi ndivyo kwa nn serikali isinunue mitambo kama hiyo. simply cost ya kuwalipa hao jama miezi sita inaweza kununua mitambo.
 
Habari wana Jf, nimepitia michuzi blog na kukuta information ya Symbion Power inayosema watauza umeme Tanesco 1 Kwh kwa 4.99 USD, kwa mawazo yangu hii pesa ni nyingi, hebu fikiri hawa jamaa wana uwezo wa kutoa 126MW per day.... ambayo ni sawa na 126000KW sasa wakiwasha kwa masaa 24 itakwa ni 3024000Kwh ukizidisha kwa bei ya 1Kwh ambayo ni 4.99USD jawabu limenichanganya. sithubu hata kuliweka hapa naona kama nimechanganyikiwa....... hebu wataalamu wa umeme tusaidieni hapo......Watanzania wenzangu mbona kama tunaliwa.....

Kama nitakuwa nimekosea hesabu naomba unisahihishe....

Kaka naona tumekuwa jf kama magazeti ya udaku.hii habari ulitakiwa walau uifanyie hesabu za primary school. Ni kitu hakiingii akilini. Ukweli ni kwamba Symbions watacharge $0.499 basi. Ila naona watanzania tumezoea kuibiana hivyo kila mtu tunamshuku wizi.
 
Mkuu nakubaliana na wewe 300%% acha tukae giza....kwanza tumeshalizoea... TSH. 23,389,128,000 per day.... hivi tuna serikali???

Serikali ipo na raisi wake alikuwa na mkurugenzi wa symbion power pale magogoni hivi karibuni kumpa mkono wa hongera kwa kufanikiwa kukamilisha mpango huu wa kutuibia kwa ari zaidi. Je, bunge limeridhia kuuzwa kwa Dowans?
 
Kaka naona tumekuwa jf kama magazeti ya udaku.hii habari ulitakiwa walau uifanyie hesabu za primary school. Ni kitu hakiingii akilini. Ukweli ni kwamba Symbions watacharge $0.499 basi. Ila naona watanzania tumezoea kuibiana hivyo kila mtu tunamshuku wizi.

Mkuu nimetangulia kuomba samahani kama ningekuwa nimekosea hesabu... lakini link iliyoonyesha ni USD 4.99 per Kwh niliipata Michuziblog.... so kama wewe unasema ni ni 0.499 USD Ashukuriwe Bwana...
 
Kwani sirikali yetu...ilikuwa inalipa dowans shing'api per day?...ili tufanye comparison nzuri???
 
Ndugu zangu, bei hiyo ni most economical na capacity charge lazima iwepo kwani mtu huwezi kuwekeza mitambo ya bei gali bila assurance ya kupata soko lako..that's the meaning of capacity charge

Hiyo 4.9 ni cents not full $$

Mitambo inayoendeshwa kwa umeme wa mafuta mazito kama IPTL ndio 600shs quite expensive

Hiyo 4 cents inarudisha faida kubwa tu...

Nimesiki wewe ni Engineer.... naweza nikuamini....
 
3,024,000Kwh x $4.99=$ 15,089,760.00 au TZS 23,389,128,000.00 za leoleo....hawana Capacity charge hawa?

Capacity charge ipo. Alisema Paul Hinks, CEO wao, kwenye kipindi cha Hamza Kasongo. Si hawa wachuuzi wa media wanawafanyia kampeni kubwa ya PR? Si wanataka pesa zao? Yaani TUNAIUZA NCHI YETU kwa bei ya jumla kabisa!
 
Hivi ni hela ngapi somebody say it loudly.
Hivi dowans walikua na bei gani vile?
Dah..naona kama kuna ulazma wa kuhamia delaware sasa duh
duh! Aise hiyo sehemu cjui iko wapi na wanafahamu kiswahiili am kingereza ili niandee passport mapema, ila hata kama kuna chocho we sema 2 maana naogopa kuwa baada ya symbion kifuatacho jicho.T.V ni........................?
 
quote_icon.png
Originally Posted by Elungata
Hivi ni hela ngapi somebody say it loudly.
Hivi dowans walikua na bei gani vile?
Dah..naona kama kuna ulazma wa kuhamia delaware sasa duh

duh! Aise hiyo sehemu cjui iko wapi na wanafahamu kiswahiili am kingereza ili niandee passport mapema, ila hata kama kuna chocho we sema 2 maana naogopa kuwa baada ya symbion kifuatacho jicho.T.V ni........................?

mkuu hapo kwenye Red...ni kicheko... hapo kwenye blue... ungemalizia kuwa ni Mizengwe....
 
Naomba kuuliza:

Hivi kwani Dowans walikataliwa kuzalisha umeme na kutuuzia kupitia tanesco?! Sabababu naona wao hawakuwa na mpango wa kutuuzia umeme bali watuuzie mitambo yao au tuwalipe fidia. Sasa baada ya kuuza mitambo yake kwa hao Symbion vipi dai lao la bilioni tisini naa ushee ambazo walipunguza nusu yake?!! Isijekuwa Symbion watakuwa wanakusanya na deni tunalodaiwa na Dowans!!??

Kabla ya TANESCO kuingia mkataba wa kununua umeme wa Symbion ningependa wananchi tuambiwe na tanesco, wizara ya nishati na madini au hata na Ikulu deni tulilokuwa tunadaiwa na Dowans limefikia wapi.

Kwa yeyote anayehusika kutujibu napenda kumwambia nahitaji jibu hilo kama raia mwema tu na sio mambo ya KISIASA wala UCHAMA fulani. Mara ya mwisho nilisikia kuna kesi imefunguliwa kupinga tozo tunayodaiwa na Dowans, ila sijawai kusikia kesi iyo ikisomwa na kusikilizwa. Kwa unyeti wa nishati katika nchi hii nadhani mahakama ingebidi itoe first priority kwenye kesi ya namna hii ili kutoa kiwingu kwenye hii sekta.

Nionavyo mimi ni bora serikali na tanesco ikaachana na kununua huo umeme wa Symbion kwa jinsi ambavyo hata hiyo Symbion yenyewe inavyochipuka sasa ikitanguliwa na madhila ya Richmond na Dowans. Ni bora hii mitambo iondolewe tu tuanze upya. In the world of plenty we cannot miss a good company to invest in electricity and solve this horrible electricity crisis we are facing now. Naomba ata mbunge mmoja amuulize Waziri husika hapo Bungeni. Please this should not be treated politically.

Naomba jibu sasa hivi.
 
Tujiulize je Tanesco wamenunua umeme huo kwa kufuata sheria ya manunuzi?

Maana toka Symbion walivyonunua mitambo mpaka wanaingia mkataba ni siku chache sana, kinyume cha procumenet Act inavyotaka. Usije ikawa safari ya ikulu kwa mkuu wa kaya ilukuwa ni kuomba dispensation ya sheria.

Mimi naona kama Tanesco wanatuingiza tena shimoni, wakati ule kulikuwa na shinikizo, leo kuna shinikiza la nani?????? Kwa nini Tanesco hawasikii?????

Wanaharakati amkeni mzuie hii kitu, this is more than too much

This shows, Richmond haikuwa ya EL peke yake!
Hii speed ya ku-sign mkataba na Symbion ina toafuti gani na Richmond? Pia tukumbuke kuna court order inayoinyima Dowans kuingia mkataba bila kibali sasa ni nani ametengua hiyo court order? na lini? na je madai ya Dowans yameyeyuka? kama hapana, nani analipa?

Kwa nini Tanesco kama public owned company haitaki kutoa report kwa shareholders wake ambao kimsingi ni sisi wantanzania wote maana sote tunawekeza huko kupitia kodi zetu? Hivi ni kampuni gani nyingine imekuwa inaingia mikataba mikubwa mikubwa kwa zima moto bila kuwapa taarifa shareholders wake?

Maswali ni mengi mno!
 
huyu mkurugenzi wa symbion sindo aliye fukuzwa uganda kwa rushwa huyu?

Museveni quizzes Kaijuka over dam

President Yoweri Museveni has questioned Richard Kaijuka about the suspected $10,000 deposited on his account allegedly as a bribe when he was energy minister. Kaijuka met Museveni in Kampala on July 26 in the presence of the Inspector General of Government (IGG) Jotham Tumwesigye, and Attorney General Francis Ayume, sources said.

Museveni reportedly informed Kaijuka that the matter was serious.

It was reportedly agreed after the meeting that Museveni asks the World Bank to de-link the controversial $10,000 deposit from the Bujagali dam project because the two were not related.

The IGG said yesterday, "Indeed, the two should be de-linked. The alleged bribe was in connection with the Karuma Falls project much earlier than Bujagali. It should not hold Bujagali. Whichever mode of communication the President may wish to use, he should tell the World Bank that Bujagali should not be held back by this issue."

Ayume only said the alleged bribe was still being investigated.

Prime Minister Apolo Nsibambi on July 8 wrote to the IGG requesting him to probe the matter, saying it had sparked a lot of negative publicity against the development of Bujagali power station.

Kaijuka is Alternate Executive Director at the World Bank in charge of 23 English-and Portuguese-speaking countries in Africa.

He is scheduled to become full executive director this October.

Kaijuka reportedly asked the Government to defend him since the bank probe unit and the IGG had cleared him.

The IGG, however, said although there was no connection between the alleged bribe and Bujagali, his office was investigating the matter.

Kaijuka reportedly told Museveni the alleged bribe was made in 1999 when the AES was still finalising technical and environmental viability studies and had not started soliciting for bids to construct the Bujagali plant. He reportedly told Museveni this payment could not have been meant to make him influence the selection of bidders as implied.

He denied that the Norwegian Veidekke company ever gave him a bribe. Veidekke, is through its London subsidiary, Norcil Ltd., pursuing the Karuma dam project.

Sources quoted Kaijuka as saying Veidekke could not have paid him a bribe over Bujagali when they were actually not happy that the Government had decided to start with Bujagali and not Karuma.

Veidekke issued a statement saying a former manager in its London subsidiary made a one-time payment of $10,000 to a Ugandan official in 1999. This was after AES made an audit of all contractors and discovered an $10,000 irregular payment made to a Ugandan public official.

Kaijuka insisted the money was paid to his son Steven Kagyezi for work done in 1997/98 .
It was paid by a Paul Hinks who was undertaking a Japanese-funded rural construction project in the Jinja-Nkokonjeru area.

Kaijuka said he was at the time minister of planning and economic development and that Hinks was never a participant in the Bujagali project.

On why the World Bank had investigated him, Kaijuka told the President the bank probe followed allegations by environmental activists that he had been bribed by AES. He reportedly said he cooperated fully and opened his accounts both local and foreign over the past four years to the World Bank's probe unit.

He was reportedly cleared by the bank that proceeded to approve funding for Bujagali. He said the current executive director, an Eritrean, had tried to undermine him. He said the officer had come to Uganda several times and tried to meet Museveni and persuade him to drop Kaijuka. His visits to Uganda coincided with the anti-Bujagali campaigns by the environmental groups. Kaijuka reportedly told Museveni the officer had written to Museveni asking Uganda to withdraw Kaijuka's secondment.

Sources said the meeting was told of how the World Bank's President, James Wolfensohn, cautioned the executive director against the anti-Kaijuka campaign and that the officer only stopped after Kaijuka's US attorney's wrote to him.

Kaijuka was asked about the article in the Wall Street journal of July 3, 2002 which alleged corruption in Bujagali. He reportedly said the article was meant to influence the MIGA Board that was due to discuss the political risk guarantee for Bujagali to create an impression the project was riddled with corruption.

The second possible reason could have been to influence his election to become executive director, he said.

Contacted for comment, Kaijuka confirmed the details of the meeting. He, however, blamed the Uganda culture of always trying to bring down their own nationals aspiring for international jobs.

He said on telephone on Sunday, "I have a reputable past. I was managing director of the Uganda Commercial Bank and a minister. I started Nile Bank, all with a clean record. I should get the benefit of the doubt."
 
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesaini mkataba na Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion ili kupunguza makali ya mgawo wa umeme.

Mkataba huo ulisainiwa juzi jijini Dar es Salaam baina ya Mkurugenzi Mkazi wa Symbion, Christopher Camponovo na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, William Mhando.

Mkurugenzi Mkazi wa Symbion Camponovo alisema kuwa mkataba huo ni wa uwazi kwa mujibu wa utendaji kazi wa kampuni hiyo katika kuzalisha umeme duniani.

Camponovo alisema kuwa Symbion itauza umeme kwa dola 4.99 za Marekani kwa kilowatt moja na kuhakikisha wanamfikia kila mwananchi ili kupata huduma ya umeme.

Alisema kuwa mkataba kati ya TANESCO na Symbion haujasainiwa wote kutokana na masharti ambayo yamewekwa na shirika hilo.

Alisema Symbion inatafuta leseni kwa ajili ya kuendeshwa kwa sheria zilizowekwa nchini.

Mkurugenzi wa Symbion alisema miundombinu ya umeme na usambazaji kutoka katika kituo cha kuzalisha umeme ni tatizo kutokana na kuwa mbali na makao makuu ya kampuni hiyo

My take:
Mitambo ya dowans symbion ilinunua kwa makubaliano yapi? au kesi ya dowans imeshatolewa
ukumu.
Mtu unaweza kununua mali ambayo ina kesi mahakamani? wanasheria tujuze
vipi hiyo mikataba kati ya tanesco na symbion nani keshaiona? isije ikawa kama richmond na dowans
Na wasiwasi hii symbion ni walewale dowans na richmond isitoshe mkurugenzi wake alishaenda kujitambulisha ikulu
Je kesi ya dowans inaendeleaje? na iefikia wapi?

Wana jf naomba majibu kama mtu anafahmu kwa haya

Nawasilisha
 
Kinachoendelea ni kama mchezo wa kuigiza.Utapeli mtupu!Haingii akilini kwamba mitambo yenye utata namna hiyo mtu mwenye akili timamu anaikubali.Sijui watawala wetu wakoje.Watanzania tuna kazi kweli kweli.
 
Sasa nimekubali Jakaya Kikwete ndiye mwenye mitambo ya Dowans na ndiye alikuwa mshiriki mkuu kuanzia Richmond, yeye ndiye mfaidika wa hii mikataba isiyo na kichwa. haiwezekani kampuni inunue mitambo mibovu na ksaini mkataba ghafla namna hii. Hongera m k w e r e kwa kuwahadaa Wadanganyika walifikiri wamepata rais kumbe wamejizolea fisadi papa.
 
Zile siku 90 alizotoa Nape zimekwisha bila gamba kutoka, je watanzania tumfanyeje mtu huyu?
 
Nape ni mtu mwenye tabia za kukurupuka ! Hana lolote, na ukiona Nape anafeli kuwajibika hata kwa mambo aliyojiapiza ujue hakuna mtu timamu kwenye chama chao ! Simuoni mwenyekiti , wala katibu. The Gambaz wamechemsha.
 
Kuna thread nimeiona jana inasema bado siku 30. Sasa sijui nani yupo sahihi! Kama siku zimekisha basi tuamini tu kuwa ulikuwa usanii mwingine wa ccm maana chama kimejaa usanii mtupu. Vilevile ni failure nyingine ya ccm katika kuongoza chama chao na nchi kwa ujumla!
 
Back
Top Bottom