Mimi sioni tatizo liko wapi, kampuni ni ya wamarekani na pesa ni za wamarekani, katika ule msaada wa dola 700 millioni, wameamuwa wazirudishe pesa kwao kwa style hiyo ya kutoa kwa mkono wa kushoto na kupokea kwa mkono wa kulia.
Naomba tusijipe vidonda vya tumbo bure, hiyo issue ni closed! na hapo ndipo sitoshangaa Lowasa kuwa mgombea urais wa ccm 2015, kwa sababu kama Lowasa anabebeshwa lawama za Richmond basi ni mitambo hiyo hiyo ndiyo ambayo Rais amesaini ili itumike Tanesco. i like this movie.