... kazi kwelikweli:
1kW-h = 1000 W
1 Mw-h = 1000000 W = 1000kV-h
126 MW-h = 126x1000kV-h = 126000kV-h
Kama Capacity ya uzalishaji ni 126,000kW-h siyo lazima kwamba hiyo ndiyo power inayoingia kwenye TANESCO kila saa na kwa hiyo siyo sahihi kukokotoa gharama kama USD 126,000x4.99=628,740 USD kila li saa limoja au USD 15,089,760 kwa masaa 24 au half a billion dollars for 30 days
sisi kama wananchi tutajuaje kwamba leo waingiza 126MW au 65MW Tanesco.... na je kama mwisho wa siku ukambiwa waliweka 126Mw kumbe ni nusu yake na wakalipwa full.....
tatizo hapa sio wataingiza kiasi gani Tanesco, ishu ni 4.99USD per 1Kwh.....