FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Thanks Faiza
Binadamu woote wana mapungufu, na si kila unachoambiwa na mchungaji au padri ndicho unatoka nacho kama neno la mwisho maana ukiambiwa lazima pia usome na neno likuongoze, nasema sio kila kitu kwani wao ni viongozi wa kiroho
Mapungufu yake nitayafungulia thread na yale yaliyoandikwa humu yanatosha sana tu, kuhusu udini mimi siuoni kwani anachangamana na dini zote
Weakness; hajui Kagoda ni nani..hajui meremeta ni nani..( We know he knows..u may try to defend this but I won't even come back to say anything abt it again )
Weakness: he has failed to inject into power generation after the 45MW which he inherited from the 3rd regime...his counterparts in EA are surpassing us and by far
Weakness: he doesn't know why TZ is poor !
Weakness: he has failed to take a stand and kuwawajibisha wale waliokosea na kuwaomba wang'oke wenyewe e.g Msabaha et al
Mengine wengine wataongezea
1) Kagoda ilijadiliwa bungeni kama hufatilii hizi habari ngoja nikukumbushe, ikasemwa halijadiliki ni kwa ajili ya usalama wa taifa, na hilo alilisema na kulipitisha Spika wa Bunge (Sitta) ambao ni muhimili wa tatu wa uongozi wa nchi hii. Full Stop. Kumbuka kila Taifa lina siri zake na si kila mtu anatakiwa azijuwe. Au na hilo hulipendi? sijaona mahali Kikwete aliposema "hajui Kagoda ni nani" hayo ni yako.
Kwa hayo hakuna pungufu la Kikwete hapo.
2) 45 Mw si ndio? Basi umekosea na kwa kukujuza tu:
The hydro-plants operated by TANESCO are all interconnected with the national grid system and their installed capacity for each station is as follows: Kidatu 204 MW; Kihansi 180 MW; Mtera 80 MW; Pangani 68 MW; Hale 21 MW; and Nyumba ya Mungu 8 MW totaling to 561 MW.
TANESCO has been implementing power generation mix program, whereby a substantial amount of generation comes from thermal generation through own generation and independent power plants (IPPs). Own thermal generation comes from the Ubungo 100 MW gas-fired plant in Dar es Salaam. Another 45MW gas-fired power plant located at Tegeta in Dar es Salaam is expected to enter the grid system in September 2009.
By the end of year 2008 IPPs contributed a total installed capacity of 282 MW. IPPs powering the national grid include the Independent Power Tanzania Ltd (IPTL) with 100 MW (diesel based) installed capacity and SONGAS (Songo Songo gas to electricity project) which by the end of 2007 had 182 MW capacity. TANESCO also imports a total of 10 MW of electric power for Kagera Region from Masaka substation in Uganda while Sumbawanga, Tunduma and Mbozi districts receive about 3 MW from neighbouring Zambia.
There are also several diesel generating stations connected to the national grid in Dar es Salaam, Mwanza, Tabora, Dodoma, Musoma and Mbeya. These have installed capacity of 80 MW but the only operational grid diesel based station is Dodoma which contributes about 5 MW and the rest are due for disposal due to obsolescence and high maintenance costs. However a short term plan is being implemented to replace the retired capacity by a 60MW plant at Nyakato, Mwanza by 2011. The other regions, districts and townships namely, Kigoma, Mafia, Mpanda, Tunduru, Songea, Liwale, Ikwiriri, Masasi, Mbinga, Ludewa, Ngara, Bihalamulo, and Kilwa Masoko are dependent on isolated diesel based generators with a total installed capacity of 31 MW. Mtwara and Lindi are supplied by M/S Artumas Group Ltd, an IPP based in Mtwara. The total capacity of Artumas power plant is 8MW using gas from Mnazi Bay gas wells in Mtwara.
Source: GENERATION
Sijui hiyo figure ya 45mw umeitowa wapi lakini kama ndio uko sahihi ina maana Kikwete kwa wakati wake kisha weka hizo hapo juu less 45 zako = za Kikwete.
Hakuna pungufu hapo.
3) "he doesn't know why TZ is poor", indeed he doesn't simply because TZ is not poor. Do you believe TZ is poor? in your right mind? I don't believe TZ is poor! Tanzania is rich in all aspects.
Hakuna pungufu hapo.
4) Haku take stand? wacha pumba! Tanzania hii kwa mara ya kwanza tunaona mawaziri wakijadiliwa wazi wazi bungeni na mpaka waziri mkuu kung'atuka pamoja na huyo Msabaha na wengine. Liliwajadili bunge na Kikwete hakulipinga akakubali waondike. Ama kweli huoni wala husikii, hivi hujaona mpaka kina mramba wanaswekwa ndani? mahalu? ni wakati upi katika uongozi wa Tanzania uliyaona haya? hakuna zaidi ya wakati huu wa Kikwete. Tafuta lingine kwa hili hakuna pungufu, inabidi asifiwe sana tu.
5) Vipi wewe umemaliza na unataka usaidiwe na wengine? haya tuendelee.