Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,305
Hahahaha!...bht umepinda walah tena....niongeze kwenye list ya watu unaowadai....nimeponea chupu chupu kuvunja mbavu...
Sweetlady unatakiwa uitikie
Ikisemwa "yarabi iwe salama" wewe waitika "salama usalimini" muahahaha