Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Sweetlady naomba unisameme dada ni shetani tu alinipitia

Abee......lol

Huyu Asprin leo alikuwa 'ananshangaza' .....kumbe alikuwa ni katoto cha 30 tu kama Bebii :]]
Mbona we wanchekesha afu sisemi....... wakati tunacheza mdako wote ulifikiri nlikuwa tayari?.........Na ile baba na mama hukunstukia?
 
ex wifi yake sweetlady bana!
nalog out sasa, part 2 ya titanic yangu na sweetlady itaendelea baadae. Mnaombwa kuhudhuria na kamera kutakuwa na picha za ukumbusho.

Umevunja sharia za jf wifi, alokuruhusu usome post yangu ni nani?...lol...


The above posts ZIJAZIONA.... Maana ushahidi hapana kwa kweli.... Dah!!.
 
Hiyo verse itaondoka na roho ya mtu ninahisi....
Ukitaka msaada wa kiitikio mi na Gee tupo kwa ajili hiyo!

Eeee tutamsaidia asije kauka koo peke yake ...........namsaidia kwa mistari mitatu hivi

"wache waseme sina budi nawe, si khofu lawama sababu ya wewe
ungekuwa nyoka radhi uniume, seuzi tausi wache walalame

ungekuwa nyoka sumu yako dawa, damu husafika maradhi hupoa
uzuri hakika wewe umepewa, siwezi kwepuka liwe litokuwa
 
Na aliyekudanganya atarudi hapa ni nani? Kwa taarifa yako amesharudi wodini na kishatundikiwa dripu ya kushusha munkari..........subiri uone kama unabisha!
Niko nae hapa babu....namalizia kumfanyia masaji ya kichwa afu atakuja kukujibu kwa kirefu...
 
Eeee tutamsaidia asije kauka koo peke yake ...........namsaidia kwa mistari mitatu hivi

"wache waseme sina budi nawe, si khofu lawama sababu ya wewe
ungekuwa nyoka radhi uniume, seuzi tausi wache walalame

ungekuwa nyoka sumu yako dawa, damu husafika maradhi hupoa
uzuri hakika wewe umepewa, siwezi kwepuka liwe litokuwa
Hahahaha!
Wape, wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao...
bht na wewe shusha ya kwako...
 
Hahahaha!
Wape, wape vidonge vyao, wakimeza wakitema shauri yao...
bht na wewe shusha ya kwako...

Weweee, kidudu mtu, una sura huna umbo, una ngoma huna nyimbo, utafanya nini kwa sweetlady!

Halo haloo....
 
yarabi iwe salama
Wasipate la kusema maadui asilani
Mapenzi yawe ya daima
Yasiingiliwe na mtu...

Wanaoomba muachane,
Nyoyo zao ziwaume
Wasipate kuwauma
Kwenu wametoka patupu
 
Bee unan'dai! kumbe nawe wamooo .....

Me likey :]]
 
  • Thanks
Reactions: bht
yarabi iwe salama
Wasipate la kusema maadui asilani
Mapenzi yawe ya daima
Yasiingiliwe na mtu...

Wanaoomba muachane,
Nyoyo zao ziwaume
Wasipate kuwauma
Kwenu wametoka patupu
Hahahaha!...bht umepinda walah tena....niongeze kwenye list ya watu unaowadai....nimeponea chupu chupu kuvunja mbavu...
 
Hahahaaaa Gee....bichwa langu hilooo karibu linapasuka.

Hapa nakula kitu cha bi Malika....'Tulieni'

Hehehe nakuamini mwaya

Mimi nipo na Bi. Malika "nimemwacha kwa hiari yangu, na sivyo mnavyosema".......lol
 
  • Thanks
Reactions: bht

Similar Discussions

Back
Top Bottom