Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

Wewe unashabikia yanga unataka mwanao afanye nini
Anyway Kuna jamaa namfahamu anafanya kazi NMB wilaya frani,ni very smart ila anakula chigga,kiukweli hua namdharau mnoooo
Sasa sigara na wee kimdharau inahusu nn? Km yuko smart na kazi zina muendea, anapungukiwa nn? Si unaumia mwenyewe ukute hata hajui km una mdharau,

Wabongo bhana, wanavhekeshaaa mnoo.
 
Kwanza naomba nieleweke sina tatizo lolote na mtu yeyote anayevuta sigara.

Tatizo langu ukiwa bado dependant kwangu siwezi kufurahi kuona unavuta sigara bado upo shule na hauna kazi yoyote.

Mtoto akishatoka kwenye utegemezi wangu, amemaliza Chuo, amehama kwangu, ana maisha yake huyo ni ruksa kuvuta sigara, kunywa pombe kwakuwa tayari ni adult na ana maamuzi yake, siwezi kumuingilia.
Dr Matola PhD, mbona formula ya Ubaba iko wazi kabisa, "as long you are under my roof,na Sheria za Baba ndiyo zitakua final kwenye mgogoro wowote ule! Na atakae jaribu kupinga maelekezo, Vikwazo vya kiuuchumi vinamuhusu ikiwepo na mpingaji ajitafutie mji wa kufanya mambo yake kwa uhuru!!
 
It's really challenging kumfukuza mtoto nyumbani ambaye hajamaliza hata kidato cha Sita.

By the way ni jambo lakumuonya tu.

Kama Baba asipokusikia ni kumhandle polepole
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Safi sana
 
Wwe kuna mitoto mingine hata Mzazi aseme vp pamoja na kutumia viongozi wa Dini lakini toto halisikii, ndiyo kwanza kila siku unaitwa police au Serekali za mita na kwa Mjumbe kesha haribu huko! Mtoto wa kusikia hata hutumii nguvu kubwa kumuekewesha na akakuelewa!!
 
Mimi nimeanza kuvuta sigara form 2 au 3 nna faham njia gani ukitumia unaweza muweka mwanao na sigara na vilevi kibongo bongo kuvuta sigara, tumbaku, ganja ni swala la asili na wala halihusiani na ukosefu wa maadili ni kama unavoona kila mchina unaekutana nae anavuta sigara lakini sio kwamba hawana maadili au hawa perform vizuri majukum yao,
Sigara sio nzuri ina madhara kama ilivyo pombe tu
Hizi ni baadhi ya sababu zinazopelekea watu wengi kuanza kuvuta sigara:-

1. Stress za mapenzi
2. Upweke
3. Makundi
4. Mambo ya genetics ( yani hapa kitu inakujaga tu mtu anajikuta anamapenzi na nicotine anakua karithi icho kitu kama watu wanavyorithi umalaya)
5. Kutokuwa na hofu ya mungu
6. Movies na video mbali mbali za musiki
7. Kupenda kujaribu jaribu mambo ( hii ipo kwa watoto wengi wakiume na ndo maana 95% ya wanaume washawah kujaribu mchezo wakuvuta sigara either karatas au kuokota vishungi

Huwezi kumzuia kwa kumtajia madhara au kwa kuwa mkali HAIPO IYO ataongeza mbinu za kujificha apo sasa fegi ndo inakua tamu vibaya mno yani unaenda kuitafutia utulivu si mnajua kitu cha wizi kinavokuwa kitamu

Chakufanya we muulize anatumia sigara gani mnunulie kama box 10 uwe unampa avute tu kila muda ukimuona tu ye si anajifanya gari moshi
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Heshima nyingi kwako mkuu
 
Nyumbani kwangu ni no smoking zone, iko hivyo miaka yote hata uwe rafiki yangu sigara Nyumbani kwangu ni marufuku utavutia nje au subiri tukifika pub hata Mimi naweza kupiga ile ya kusindikizia kamnyweso.
Ikiwa unavuta kwanini inakusumbua mwanao kuvuta?

Mimi mzee hakuwa mnywaji wala mvutaji. Na wanae tumekua hivyo, na wanangu ingawa wadogo bado ila hawajawahi niona nimeshika pombe wala sigara.

Naamini lifestyle yangu ina ushawishi kwa wanangu
 
Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.

Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.

Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.

Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.

Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.

Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna wakati ni lazima usimame kama mkuu wa familia
Sasa ukuu sio kushika bakora na kumtandika kisa tabia yake iliyopotoka jiulize ana miaka 2 au amevuka miaka 18 ?

Ndio maana nikakwambia zungumza nae mtoto wako kwa upole Jenga ukaribu nae msikilize kwa umakini acha kujifanya bwana jela, tabia zake zimechangiwa na tabia zako jichunguze wewe kwanza ni tabia zipi ulizonazo zilizopelekea mtoto wako kuingia kwenye tabia usiyoipenda baada ya kujua hilo jisahihishe au muulize yeye ni nini kinampelekea kua na tabia usizozipenda nasisitiza acha ubabe zungumza kwa upole Mzee kua mpole ukijifanya mbabe utakua unakoleza KUNI na kuzichochea atakua smoker mara 2 ya unavyomuona
 
Back
Top Bottom