Swala la wanaume kuwapiga wanawake; nini mbadala wake?

Asee mimi nilikua mmoja wa watu ambao walikua hawaelewi kabisa nikiona au kusikia jamaa amepiga mwanamke.... Yakanikuta siku moja... nikapiga na adabu ikawepo (tuelewane hapa... I am not proud of what I did and in fact I apologised to her lakini nasema sitashangaa kuona mwanamke kapigwa... sometimes there is a strong reason behind hicho kipigo)
Samahini kwa mchanganyo wa lugha.
Hongera sana, kipigo huwa kinasaidia sana kumnyoosha mwanamke "IKIBIDI"

Kuna scenarios nyingi tu ambazo zinapelekea mke kupigwa.

Usipompiga ipo siku atakupiga.

Wanaume tujitahidi jamani kupiga wake zetu.
 
Mwanamke ni kama mtoto usipo mpiga anakupanda kichwani na atajiona yeye ni zaidi yako na atakuonyesha dharau mpaka mwiaho. Na sisi wanaume tuwe na msimamo mwanamke akiona hataki kupigwa na anajua ni udhalilishaji kwa nn asimtii mwanaume? Ukiingia kwenye 18 zako piga akienda kukushitaki mahakamani ajue ndo taraka yake inafuata . maana wanakera sana hawa viumbe ila wakichezea mkong'oto wanakuwaga na adabu hatari

We hujielewi.Sawa,taraka yake mpe,kama kwao kuna ka uwezo,watoto wakobutawasikilizia tu,wanaenda kuwa brain washed wakikuona tu wanakimbia kama hawana akili! Duh! raha iliyoje! Aliyekuwa mkeo anapita na kukufyonza,wakwe wa zamani wamekudhalau upo upo tu,anampigie msela hata kama ni jirani tu anaigiza mapenzi mbashara,roho inakuuma unatamani upasuke.
Mwingine atakuachia watoto,ndo utauona mziki sasa.Na kosa uoe mwanamke aje awakute ndo utachizi.We piga tu,we si ni mwanaume bana eh! Kuna siku utakuta kafungasha mizigo yake kasepa,ukianza kula gengeni tena kwa kujificha eti wasione unakula kwa mama ntilie huku una mke home,maji hamna,utamkumbuka,na ukimfata utatoa mahari mala ya pili. Wanasemaga kwamba mbwa hutambua umhimu wa mkia ukishakatika
Mimi dawa yangu kuu ni kipigo tuu na mafanikio yanakua makubwa 80%
We piga tu,na mafanikio yafikie 100%.Ila nakutahadhalisha, utakuja kuozea ndani kwako bila hata msaada,labda mama yako ndo atakuhudumia. Laiti kama mwanamke ungechukulia kama mama yako mzazi.Na ujue kwamba ana kampani zake na akizihadithia zinamshauli.Bado anaweka mambo sawa siku ya kukulipulia bomu utaenda kulala kwa wazazi wako.
Kama umemchoka,elewaneni kistarabu kila mtu achukue hamsini zake.
Machozi ya mwanamke mabaya jamani?!!!
 
Acha ujinga ww utamuacha mkeo kisa anashinda kwa majirani kupiga umbea na ukimuonya asikii
Kwa kosa kama hilo la kushinda kwa majirani na kupiga umbea hakika adhabu yake ni :-

1) Onyo, baada ya Onyo ni "Vibao" taas taas kama vinne hivi

Vibao visipofanya kazi ni "Mikanda" ya mgongo kama sita hivi

Mikanda isipomrekebisha ni "Vitasa" na visizidi vitatu.
 
We hujielewi.Sawa,taraka yake mpe,kama kwao kuna ka uwezo,watoto wakobutawasikilizia tu,wanaenda kuwa brain washed wakikuona tu wanakimbia kama hawana akili! Duh! raha iliyoje! Aliyekuwa mkeo anapita na kukufyonza,wakwe wa zamani wamekudhalau upo upo tu,anampigie msela hata kama ni jirani tu anaigiza mapenzi mbashara,roho inakuuma unatamani upasuke.
Mwingine atakuachia watoto,ndo utauona mziki sasa.Na kosa uoe mwanamke aje awakute ndo utachizi.We piga tu,we si ni mwanaume bana eh! Kuna siku utakuta kafungasha mizigo yake kasepa,ukianza kula gengeni tena kwa kujificha eti wasione unakula kwa mama ntilie huku una mke home,maji hamna,utamkumbuka,na ukimfata utatoa mahari mala ya pili. Wanasemaga kwamba mbwa hutambua umhimu wa mkia ukishakatika
We piga tu,na mafanikio yafikie 100%.Ila nakutahadhalisha, utakuja kuozea ndani kwako bila hata msaada,labda mama yako ndo atakuhudumia. Laiti kama mwanamke ungechukulia kama mama yako mzazi.Na ujue kwamba ana kampani zake na akizihadithia zinamshauli.Bado anaweka mambo sawa siku ya kukulipulia bomu utaenda kulala kwa wazazi wako.
Kama umemchoka,elewaneni kistarabu kila mtu achukue hamsini zake.
Machozi ya mwanamke mabaya jamani?!!!
Povu povu povuuuuuuuuuu. Kwan yeye akiingiza mwingine ww roho haitakuuma? Yaan ukiwa brain wash watoto mi itanipunguzia nini?.
 
Aisee!

Karne ya 21 bado kuna watu wanafagilia domestic violence?

Walianza na kugegeda mahousegirl wao,wakaja na mtindo wa kuchovya chovya kila sketi,wakaja na mtindo wa kusambaza ngoma kwa vile tayari mambo yalishajipa, sasa wamekuja na mtindo wa kichapo kwa mwanamke.

Nilishuhudia sebene moja bwana!Hawa watu tu ukitaka waheshimu,ukishindwa bora utafute makazi mengine muwe mnaonana mara moja moja.Jama kajifanya kidume, vichapo vya kila siku, kumbe mama wa watu pamoja na upole wake,inaonekana zamani alikwa mtu wa mazoezi,amepigwa weeeeee mpaka basi.Sasa siku moja jama kaja,kafoka weeee, akachukua panga kumkata mwanamke,kamkimbia,kaita Police kawekwa ndani.Miezi mitatu karudi uraiani, kumbe mihasira ndo imepanda. Siku moja kamkuta mwanamke amejifunga kitenge, watoto wapo, na majirani mwanamke wanamtengenezea nywele,jama kaamsha kipigo. Mwanamke bila kujali yupo uchi(kabaki na chupi tu)alimvuruga mwanaume,meno yaling'oka, kawaita wazazi wake waje wamchukue,kuanzia siku hiyo,jama yupo kama chokolaa, watoto hawamtaki hata kumuona,na huku nasikia alikuwa ni jina tu hana msaada wowote, mwanamke aliachana nae kisheria na sasa anadunda maisha yake ya kawaida lakini ana amani; sawa tu ntakuwa muoga siku zote kwa hili nililoliona, lakini siku nyingine unaingia kusiko bila kujua
 
Unadhan mwanamke anataka sex tu?? Ha ha ha nakuombea upate mke ujue mwanamke anapenda nn,,sex ni sehem tu ndugu,unadhan ukiwa mtu wa kisiran kila mara na kufoka foka,,anakuuliza kitu unamjib kijeuri unadhan atajua na hamu na hyo sex hata kama unampiga dushe vzr?? Ha ha ha pole sana mwanamke anapenda kubembelezwa kila muda,kusikilizwa,kujaliwa kila wakat,kubembekezwa kama watoto wadogo,,mwanamke ni kama watoto,unapokua karib nae na kumbembeleza mara mara anakupenda zaid,gubu lako peleka kwa michepuko kimboka pale unalipa na kusepa..lakin mke unaishi nae kwa akili sana.

Sometime wanakera lakin chukulia kero yake ni changamoto kwako,,anaweza kukuuliza kitu mpka ukaona duuuh huyu ni mtoto au mtu mzima? Shuka mnayojifunikia anaweza kukuliza hiv baba fulan shuka hii inatutosha kweli kujifunika wawili? Just imagine ni mkeo,na mnatumia shuka hyo mara kwa mara na anakuuliza hvyo ukiwa na hasira zako ulizotoka nazo kuangalia mpira na timu yako imefungwa unadhan utamjibu nn huyo??utaona kam anakuchora tu lakin ukimjibu kwa upole na kumuelewesha anaridhika na kukuamini zaid. Mwanamke sio chombo cha starehe,mwanamke ni msaidizi wa maisha yako usimchukulie poa hata kddgo
Paragraph ya mwisho umeua [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Bila fimbo no respect
Yani wanaume cjui tumelogwa?
Mwanamke anakukosea then wewe ndo unaomba msamaha!!!
 
Ni kuwavumilia tu... Ndiyo walivyoumbwa... Kama ni kupiga sasa si utapiga kila siku...

Akipandisha wewe jishushe... Akitulia una mbembeleza anakuelewa tu... Ni wepesi sana kuelewa... Ila ukitaka kushindana nae ndiyo hapo lazima utampiga...

Sisi wanaume tuna nguvu za mwili ila tumenyimwa nguvu ya ulimi.. Wanawake wamepewa nguvu ya ulimi... Nikimanisha maneneo...

Cc: mahondaw
 
Inamana hadi unaamua kukaa naye huyo mwanamke hujajua tu kama hana maadili. Punguzeni hizo tabia kwa sababu hata wewe mwenyewe hapo ulipo mapungufu unayo ila anakuvumilia.

Mnaweza mkakaa kiuchumba akawa anaku actia ila baada ya ndoa ana badilika nimeshaona mifano hai mingi sana , tatizo lililopo ni wanawake siku hizi wanajifanya wajuaji sana

Wanataka usawa wakati wao wana papuchi na maziwa na mwanaume ana koromeo na ududu

Mwanaume ni mwanaume tuu usitake ulingane nae

Wazazi wetu wamedumu mpaka Leo kwa kutambua nini maana ya mwanaume
 
Povu povu povuuuuuuuuuu. Kwan yeye akiingiza mwingine ww roho haitakuuma? Yaan ukiwa brain wash watoto mi itanipunguzia nini?.

Aise,pole yako,na wewe ni wale wale tu.Yaani watoto wako wakikalilishwa kuwa we ni sawa na jambazi,wakikuona wakukimbie na kweli ikawa hivyo hivyo haikupunguzii kitu? Sijawahi ona mwanaume ambaye hana mapenzi na wanae.Hongera,au labda kuna kingine umemaanisha labda mi ndo nimekuelewa vibaya!
 
Ewe Mtu, unajua maana ya NDOA?

Umetoa wapi hilo ulilosema?

Ukishasema neno "NDOA" tayari ni muunganiko wa watu wawili au zaidi "waliokubaliana" kuishi pamoja.

Iwe ya mitara au ya mke mmoja.

Wewe unatuletea mboyoyo baridi.
Unafaka kujua mwanamke anaishikilia ndoa?? Tega sikio nikuambie we usiejua thaman ya mwanamke na kwa nn ulimwengu huu ni wa kike sio wa kiume..

Kwa nn mungu akimuumba Hawa?
Kama mwanaume alikua anaweza maisha peke yake alimletea hawa wa kazi gani?
Kwa nn Mungu alimtengeneza mwanamke abebe mimba??ulishawahi kujiuliza au unakuja kupiga kelele huku?
Una jua dunia hii ukipanda kitu kinaota?ulishajiuliza kwa nn mwanamke ukipanda mbegu zako anapata mimba?
Umeshawahi kuona talaka?unadhan talaka bila mwanamke kusain itakua talaka?? Mahusiano yte yanashikiliwa na wanawake unajua hilo?tulia nikupige sindano leo ujue thaman ya mwanamke wewe unaeleta dharau?? Umeshajiuliza kwenye ndoa kwa nn mwanaume ndio anaeulizwa kwanza je unakubali fulani awe mke wako kabla ya mwanamke?unajua mkimkosea mwanamke (mke wako)mara kwa mara akilia machoz yake Mungu anayahesabau haraka kuliko hata mtu aliekuzaa na yana haki kuliko ya mama yako mzazi??
Unajua huna wanaume tunaambiwa baba zatu ni akina nani lakin mwanamke anamjua mwanae?
Unajua mwanamke mjane anaishi miaka mingi tofauti na mwanaume aliefiwa na mkewe?
Hujui ukimdharau mke umeidharau jamii nzima?
Mnaolalamika wanawake hawakui mnasahau hyo ndio sifa yake inayomfanya kua mwanamke??
Leo mnajitoa ufaham na kusahau mwanamke ndie anaeleta ladha ya dunia hii tuishiyo[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Aisee mtu anaepiga mwanamke namwona kama shetan,unaanzaje kumoiga kwa mfano?? Unajua makosa yte chanzo chake kikuu ni sisi wenyewe kabla ya kuwarushia wengine sababu?hakuna mtu bora ktk ndoa maana mnaishi pamoja ila mwanamke ana mengi ktk ndoa kuliko wanaume... Heshimu mwanamke ndugu maana yule ndio namba moja wako ktk maisha yako yte.. Muheshimu kulko kiumbe cchte chini ya jua mkeo maana ni baraka mungu anaishusha kati yenu mkiheshimiana.

Nalewa kidgo nitakurudia
 
Aise,pole yako,na wewe ni wale wale tu.Yaani watoto wako wakikalilishwa kuwa we ni sawa na jambazi,wakikuona wakukimbie na kweli ikawa hivyo hivyo haikupunguzii kitu? Sijawahi ona mwanaume ambaye hana mapenzi na wanae.Hongera,au labda kuna kingine umemaanisha labda mi ndo nimekuelewa vibaya!
Una stress wewe sio bure. Sasa wewe unawakaririsha ulitaka mi nfanyaje?, nakuona kichaa tu nakukupuuzia tu nkiamin wakikuwa watakuja tu na watakuuliza ilikuaje ukalalwa na jambazi?, unajua wanawake ni wapuuz kweli kweli eti mtu uliemvulia chupi unamwita jambaz
 
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku izi wa
mekua na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafazar tisiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::

unnamed%2B%252836%2529.jpg

unnamed%2B%252835%2529.jpg
 
Unafaka kujua mwanamke anaishikilia ndoa?? Tega sikio nikuambie we usiejua thaman ya mwanamke na kwa nn ulimwengu huu ni wa kike sio wa kiume..

Kwa nn mungu akimuumba Hawa?
Kama mwanaume alikua anaweza maisha peke yake alimletea hawa wa kazi gani?
Kwa nn Mungu alimtengeneza mwanamke abebe mimba??ulishawahi kujiuliza au unakuja kupiga kelele huku?
Una jua dunia hii ukipanda kitu kinaota?ulishajiuliza kwa nn mwanamke ukipanda mbegu zako anapata mimba?
Umeshawahi kuona talaka?unadhan talaka bila mwanamke kusain itakua talaka?? Mahusiano yte yanashikiliwa na wanawake unajua hilo?tulia nikupige sindano leo ujue thaman ya mwanamke wewe unaeleta dharau?? Umeshajiuliza kwenye ndoa kwa nn mwanaume ndio anaeulizwa kwanza je unakubali fulani awe mke wako kabla ya mwanamke?unajua mkimkosea mwanamke (mke wako)mara kwa mara akilia machoz yake Mungu anayahesabau haraka kuliko hata mtu aliekuzaa na yana haki kuliko ya mama yako mzazi??
Unajua huna wanaume tunaambiwa baba zatu ni akina nani lakin mwanamke anamjua mwanae?
Unajua mwanamke mjane anaishi miaka mingi tofauti na mwanaume aliefiwa na mkewe?
Hujui ukimdharau mke umeidharau jamii nzima?
Mnaolalamika wanawake hawakui mnasahau hyo ndio sifa yake inayomfanya kua mwanamke??
Leo mnajitoa ufaham na kusahau mwanamke ndie anaeleta ladha ya dunia hii tuishiyo[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Aisee mtu anaepiga mwanamke namwona kama shetan,unaanzaje kumoiga kwa mfano?? Unajua makosa yte chanzo chake kikuu ni sisi wenyewe kabla ya kuwarushia wengine sababu?hakuna mtu bora ktk ndoa maana mnaishi pamoja ila mwanamke ana mengi ktk ndoa kuliko wanaume... Heshimu mwanamke ndugu maana yule ndio namba moja wako ktk maisha yako yte.. Muheshimu kulko kiumbe cchte chini ya jua mkeo maana ni baraka mungu anaishusha kati yenu mkiheshimiana.

Nalewa kidgo nitakurudia

Wengine bwana wanajua kuwa mwanaume ni kushusha kichapo na kuufanya mji uwe mtata,ukiingia wanalala wote wengine wanaect kuumwa.Haiwi hivyo
 
Wewe inapobidi nani anakupiga?
Kama una uwezo wa kumpiga mumeo akikosea nawe mdunde! sio kesi

ila utake usitake utiifu wa mke kwa mumewe ndo amani ya maisha baina yao.

wazazi wanapowaonya na kuwapiga watoto zao haimaanishi hawakosei, je na wao wakikosea waadhibiwe na nani?
 
Unafaka kujua mwanamke anaishikilia ndoa?? Tega sikio nikuambie we usiejua thaman ya mwanamke na kwa nn ulimwengu huu ni wa kike sio wa kiume..

Kwa nn mungu akimuumba Hawa?
Kama mwanaume alikua anaweza maisha peke yake alimletea hawa wa kazi gani?
Kwa nn Mungu alimtengeneza mwanamke abebe mimba??ulishawahi kujiuliza au unakuja kupiga kelele huku?
Una jua dunia hii ukipanda kitu kinaota?ulishajiuliza kwa nn mwanamke ukipanda mbegu zako anapata mimba?
Umeshawahi kuona talaka?unadhan talaka bila mwanamke kusain itakua talaka?? Mahusiano yte yanashikiliwa na wanawake unajua hilo?tulia nikupige sindano leo ujue thaman ya mwanamke wewe unaeleta dharau?? Umeshajiuliza kwenye ndoa kwa nn mwanaume ndio anaeulizwa kwanza je unakubali fulani awe mke wako kabla ya mwanamke?unajua mkimkosea mwanamke (mke wako)mara kwa mara akilia machoz yake Mungu anayahesabau haraka kuliko hata mtu aliekuzaa na yana haki kuliko ya mama yako mzazi??
Unajua huna wanaume tunaambiwa baba zatu ni akina nani lakin mwanamke anamjua mwanae?
Unajua mwanamke mjane anaishi miaka mingi tofauti na mwanaume aliefiwa na mkewe?
Hujui ukimdharau mke umeidharau jamii nzima?
Mnaolalamika wanawake hawakui mnasahau hyo ndio sifa yake inayomfanya kua mwanamke??
Leo mnajitoa ufaham na kusahau mwanamke ndie anaeleta ladha ya dunia hii tuishiyo[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Aisee mtu anaepiga mwanamke namwona kama shetan,unaanzaje kumoiga kwa mfano?? Unajua makosa yte chanzo chake kikuu ni sisi wenyewe kabla ya kuwarushia wengine sababu?hakuna mtu bora ktk ndoa maana mnaishi pamoja ila mwanamke ana mengi ktk ndoa kuliko wanaume... Heshimu mwanamke ndugu maana yule ndio namba moja wako ktk maisha yako yte.. Muheshimu kulko kiumbe cchte chini ya jua mkeo maana ni baraka mungu anaishusha kati yenu mkiheshimiana.

Nalewa kidgo nitakurudia
Ewe mtu mbona una akili ndogo hivyo?

Kwahiyo Mwanamke ndio anashikilia ndoa kwasababu tu Alipoumbwa Adam bas Mungu akamuumbia Hawa? [emoji23]

Kwasababu Mwanamke ndiye anayepokea mbegu kutoka kwa Mwanaume na kubeba mimba? Na ukafananisha na mimea iotayo kuwa kuanzia mbegu [emoji23]

Kwasababu siku ya harusi ni Mwanaume ndiye anayeanza kuulizwa kuwa je unakubali kumuoa bi flan? [emoji23]

Wewe kwa sababu hizo unastahili pole kubwa.

Bado nakuuliza unajua neno "NDOA" lina maana ipi?

Hiyohiyo Biblia uliyoirefer inatuambia Mume ni kichwa cha nyumba (ni Kiongozi) kichwa huwa ndicho kinachoongoza mwili.

Wewe unatuambia ndoa ni mwanamke.

Wewe umeoa lini chief?
 
Jibu maswali acha porojo,,ndoa ni tendo la kumjua mwenzako kimwili...
 
Back
Top Bottom