Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,951
- 183,519
Na mpigwe tu.Piga maneno mawili pi. ..ga. ..ila kiukweli siku hizi wanaume tunapigwa na wanawake hatari
Na mpigwe tu.Piga maneno mawili pi. ..ga. ..ila kiukweli siku hizi wanaume tunapigwa na wanawake hatari
Ngono ni sehemu ya ndoa, sio sehemu kubwa kama unavyodhani.
Ingekua sehemu kubwa basi wanawake wasingelilia ndoa kila siku wanaomba kuolewa maana kama ni ngono hata bila ndoa ngono wanaipata daily.
Wewe oa kwanza ndio utajua tofauti ya demu na mke.
Tofautisha ndoa na ujinga mnaofanya gesti hukoSijaoa lkn nina uzoefu na Wanawake, kama uko vizuri kwenye sex na unamfikisha fresh hawezi ku kukuzingua, kila kitu kipo hapo kwenye Sex, ukiona anakuzingua ujue haumridhishi hivyo anajaribu kuwasiliana na wewe kivingine kwamba ongeza game,...
uta acha wangapi? kipigo ni haki yao japo kwa kiasiKupiga mwanamke ni kosa na ni ujinga, dhana ya kupiga ni kumpa mtu maumivu ili aogope maumivu na asifanye makosa, hiki kitendo hakipaswi kufanya kwa mtu mzima. Kama hafai, mwache!
Tofautisha ndoa na ujinga mnaofanya gesti huko
Huna unalojua ndani ya ndoa.Sasa si ndiyo hao wanaowapa shida kila siku na mnaishia kuwapiga? Kwa maana hajakupenda, kwani upendo unaendana na Sex fresh!
Huna unalojua ndani ya ndoa.
Nakosea kuendelea kubishana nawewe
Habar wakuu.
Jana nilikua naangalia kipindi flani kwenye TV wanapinga na kuona ni ukatili na unyanyasaji Wa kijinsia kumpiga Mwanamke...
Wanawake siku izi wa
mekua na madudu mengi sana mpaka wanatia hasira....Mimi juzi tuu nimetoka kutoa kichapo cha maana na Mwanamke amerudi kwenye mstar....
Naombeni mawazo yenu tafazar tisiwapige wanawake tuwafanye nini sasa
Na wanawake kama mnasoma uzi huu ...mtupe mwongozo tuwafanye nini mnapotuletea ushenz::
Huyo jamaa ni wa ajabu yaan yeye anadhan ndoa ni kufungunyana tu kama afanyavyo kweny vigeto vyao.Huna unalojua ndani ya ndoa.
Nakosea kuendelea kubishana nawewe
Ndio wanavyojidanganya na sikuzote wanaume ndio wanaoongoza kwa kuwa na tabia mbovu.Nyie ni malaika mlokamilika toka mbinguni right!!!
Ni kuishi nao kwa kutumia akili ya kiume [akili ya kuzaliwa] "Ukimuona mwanaume ananyanyua mkono wake kumpiga mwanamke elewa kwamba huyo hajawahi kunyosha mkono darasani kujibu swali"
Mwanamke unaweza kuishi nae na mkafurahia mahusiano yenu bila hata sex...sijakataa sex heavy ni nzur lakin sio kipimo pekee cha kukuhalalisha kwamba akikosa hiko ndio ndoa inakua kero... Na mwanamke unaweza usimridhishe hata mwaka mzima nawewe usijue asilani... Ngoja ipo siku atakuambia toka nimekua na ww sijawah kufika mwsho nawe ulikua unaona ulikua unamlima kweli kweli sasa sijui utampiga au vip? Sex nzur na yenye afya ni maandalizi kabambe,na maandalizi mazur hayawez kuja bila kuelewanaVyovyote vile unavyotaka kuphilosofia lkn bila Sex fresh hakuna Upendo hasa kwa upande wa Mwanamke!
ha haaaaa espy weweUnamvizia unampasua tu.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwanamke anaejielewa na mwenye maadili hatangazi maisha yake ya ndani na mtu mwngine nje.. Huyo atajua sio sahihi kumwoa ndugu... Mke mwenye mashosti hafai kua na sifa ya mke.. Rafiki wa kweli wa mke wako ni wewe..Ishi na mwanamke kwa akili sana. Ukimbembeleza na kumjali sana anakupanda kichwani kabisa au kukutangaza kwa mashosti zake kwamba hata akifanya nini haumgusi. Kuna siku nilikuwa namwelekeza jambo wife akawa ananijibu hovyo aisee baba aangu, hakuamini kama ni mimi au alshababu. Sikumpiga ila nilipandisha mori baba ndani ya sekunde niliona anatembelea magoti huku anaomba msamaha baba fulani nisamehe. Baaada ya muda kunituliza zaidi nikaona anajilegeza nimpe dudu. Mpaka leo heshima na ndoa inaamani zote.
Hata hao wenye wake walikua machizi kabla hawajaoaJiulize kwa nini machizi wengi wasio na mali wanapata mademu tena wakali?Tena wengine wake za watu, hawa Wanawake wanafwata nini?
Umeoa?Wewe ukifanya madudu nani anakupiga?! That's sexual assault and its an act or omission punishable by the law, sema mmeoa vilaza. Ukiwa na strong, independent woman huwezi mletea tabia za kienyeji enyeji, unashtakiwa faster, na uki-file divorce unaambulia kurudi kwenu na mashuka tu.
Mpk unafika hatua ya kumpiga mwanamke jua kuna wajibu wako fulani hutimizi, mwanamke anaenda kutimiziwa kwa wadau wengine, ambao mara nyingi hua wanasimamia shoo kwa ustadi wa hali ya juu.
Hicho kisa cha Mtume...[emoji23]Kakaa hyo sunna umeipata ktk kitabu gan au mtume han alifanya hvyo ikiw huyo nabii muhammad nasikia mkwew alikuja kuamua kesi yao mwanae akapaza saut alimpga kofi lkn muhammad kamtetea mkewe japo kasa la mke lkn hakutaka apigwe na baba yake kaka mambo ya din yaache ktk din na haya ya kijinga tuyajadir kijinga jinga tusifurahishe watu kumkerehesha mungu mungu huwa ajui kitu matan wala mzaha